Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Its true kakaaThat's a different between Man and women!!! Made in humanity
Hio sio sababuUmesemaje? Nyie mko tayari kweli? Jisemee moyo kaka! Wanaume wengine hua wanakataa ndio maana wengi huwarudisha watoto kwa baba zao au ata kuwaacha kwa mabibi.
Kuna wanawake walio tayari kulea watoto wa mwanaume!!! Ila ni rahisi kama mama yako hayupo duniani! La sivyo ni mateso tu!
Sababu nyingine nadhani ni the fact kwamba mwanaume si mlezi!!! Mama ndo anashinda sana na watoto... Wewe huwezi ona adhabu ya kulea mtoto ambae si wako kwa sababu hushindi nae na ni ngumu kujua kinachoendelea nyumbani mchana
acha kuukwepa ukweli, asilimia kubwa hamuwezi kulea mtoto asiye wahusu. Tofauti na wanaume.Umesemaje? Nyie mko tayari kweli? Jisemee moyo kaka! Wanaume wengine hua wanakataa ndio maana wengi huwarudisha watoto kwa baba zao au ata kuwaacha kwa mabibi.
Kuna wanawake walio tayari kulea watoto wa mwanaume!!! Ila ni rahisi kama mama yako hayupo duniani! La sivyo ni mateso tu!
Sababu nyingine nadhani ni the fact kwamba mwanaume si mlezi!!! Mama ndo anashinda sana na watoto... Wewe huwezi ona adhabu ya kulea mtoto ambae si wako kwa sababu hushindi nae na ni ngumu kujua kinachoendelea nyumbani mchana
Hivi inakuwaje sisi wanaume ikitokea umeanza uhusiano na mdada ambaye ana mtoto basi asilimia kubwa tupo tayali kuishi na huyo mtoto kama mtoto wako na utamuhudumia kama mtoto wako na kumpa haki zotee.
Lakini upande wa kina dada sijaelewa ni kwanini inakuwa ngumu anapokukuta una mtoto basi atakuwekea vikwazo vingi mpaka unagundua kuwa yeye kama yeye hayupo tayali kuishi na mtoto wako......
Nazungumza hivoo kutokana kuna mshikaji ana mtoto wake ila mwanamke aliyempata anamlazimisha amrudishee kwa mama yake mzazi na yeye ndo atakubali kuishi na yeye.....
Sio hivoo tuu niliwahi kushuhudia kuna mdada aliwahi kumpiga mtoto wa mshikaji mmoja ivi hadi akamuumiza kipindi mwana yupo katika miangaiko yake ya hapa na palee. .....
Lakini je katika yote haya ivi wadada ni kwanini mnakuwa wagumu kuishi na watoto ambao sio wa kwenuu
Ni kwel kabisaUmesemaje? Nyie mko tayari kweli? Jisemee moyo kaka! Wanaume wengine hua wanakataa ndio maana wengi huwarudisha watoto kwa baba zao au ata kuwaacha kwa mabibi.
Kuna wanawake walio tayari kulea watoto wa mwanaume!!! Ila ni rahisi kama mama yako hayupo duniani! La sivyo ni mateso tu!
Sababu nyingine nadhani ni the fact kwamba mwanaume si mlezi!!! Mama ndo anashinda sana na watoto... Wewe huwezi ona adhabu ya kulea mtoto ambae si wako kwa sababu hushindi nae na ni ngumu kujua kinachoendelea nyumbani mchana
Ila kwa watu ambao nina ushahid ni dhahiri kuwa wababa wengi tu wameoa wanawake ambao tayari wana watoto na wanawapenda kweli...ila wakina mama wanavisa kweli kweliUmesemaje? Nyie mko tayari kweli? Jisemee moyo kaka! Wanaume wengine hua wanakataa ndio maana wengi huwarudisha watoto kwa baba zao au ata kuwaacha kwa mabibi.
Kuna wanawake walio tayari kulea watoto wa mwanaume!!! Ila ni rahisi kama mama yako hayupo duniani! La sivyo ni mateso tu!
Sababu nyingine nadhani ni the fact kwamba mwanaume si mlezi!!! Mama ndo anashinda sana na watoto... Wewe huwezi ona adhabu ya kulea mtoto ambae si wako kwa sababu hushindi nae na ni ngumu kujua kinachoendelea nyumbani mchana
Mkuu upo sahihi kabisaa na yote hayoo yanatokea kwa sababu ya malii tuuuIla kwa watu ambao nina ushahid ni dhahiri kuwa wababa wengi tu wameoa wanawake ambao tayari wana watoto na wanawapenda kweli...ila wakina mama wanavisa kweli kweli
Mkuu hebu elezea1a\LlAZ eat CAMi ni mtusi asiyejificha sijawahi kujiita muha au muhangaza lakini naelewa kwa nini wanaogopa kujitambulisha hivyo ni waoga wakujieleza mbele ya sheria
WANA ROHO MBAYA HAO