Ni kwanini sisi wanaume tupo tayari kumlea watoto wasio wetu lakini sio wakina dada?

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,909
2,000
Hivi inakuwaje sisi wanaume ikitokea umeanza uhusiano na mdada ambaye ana mtoto basi asilimia kubwa tupo tayali kuishi na huyo mtoto kama mtoto wako na utamuhudumia kama mtoto wako na kumpa haki zotee.

Lakini upande wa kina dada sijaelewa ni kwanini inakuwa ngumu anapokukuta una mtoto basi atakuwekea vikwazo vingi mpaka unagundua kuwa yeye kama yeye hayupo tayali kuishi na mtoto wako......

Nazungumza hivoo kutokana kuna mshikaji ana mtoto wake ila mwanamke aliyempata anamlazimisha amrudishee kwa mama yake mzazi na yeye ndo atakubali kuishi na yeye.....

Sio hivoo tuu niliwahi kushuhudia kuna mdada aliwahi kumpiga mtoto wa mshikaji mmoja ivi hadi akamuumiza kipindi mwana yupo katika miangaiko yake ya hapa na palee. .....

Lakini je katika yote haya ivi wadada ni kwanini mnakuwa wagumu kuishi na watoto ambao sio wa kwenuu
 
Paprika

JF-Expert Member
Feb 25, 2017
6,003
2,000
Umesemaje? Nyie mko tayari kweli? Jisemee moyo kaka! Wanaume wengine hua wanakataa ndio maana wengi huwarudisha watoto kwa baba zao au ata kuwaacha kwa mabibi.
Kuna wanawake walio tayari kulea watoto wa mwanaume!!! Ila ni rahisi kama mama yako hayupo duniani! La sivyo ni mateso tu!

Sababu nyingine nadhani ni the fact kwamba mwanaume si mlezi!!! Mama ndo anashinda sana na watoto... Wewe huwezi ona adhabu ya kulea mtoto ambae si wako kwa sababu hushindi nae na ni ngumu kujua kinachoendelea nyumbani mchana
 
Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,719

Hio sio sababu

Huo ulezi umembeba mgongoni muda wote?

Unakuta una dada wa kazi yeye ndio kila kitu wewe ni kama baba kutoka asubuhi kurudi jioni,Hapo imekaaje?
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
14,798
2,000
Umesemaje? Nyie mko tayari kweli? Jisemee moyo kaka! Wanaume wengine hua wanakataa ndio maana wengi huwarudisha watoto kwa baba zao au ata kuwaacha kwa mabibi.
Kuna wanawake walio tayari kulea watoto wa mwanaume!!! Ila ni rahisi kama mama yako hayupo duniani! La sivyo ni mateso tu!

Sababu nyingine nadhani ni the fact kwamba mwanaume si mlezi!!! Mama ndo anashinda sana na watoto... Wewe huwezi ona adhabu ya kulea mtoto ambae si wako kwa sababu hushindi nae na ni ngumu kujua kinachoendelea nyumbani mchana
acha kuukwepa ukweli, asilimia kubwa hamuwezi kulea mtoto asiye wahusu. Tofauti na wanaume.
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,247
2,000
Hivi inakuwaje sisi wanaume ikitokea umeanza uhusiano na mdada ambaye ana mtoto basi asilimia kubwa tupo tayali kuishi na huyo mtoto kama mtoto wako na utamuhudumia kama mtoto wako na kumpa haki zotee.

Lakini upande wa kina dada sijaelewa ni kwanini inakuwa ngumu anapokukuta una mtoto basi atakuwekea vikwazo vingi mpaka unagundua kuwa yeye kama yeye hayupo tayali kuishi na mtoto wako......

Nazungumza hivoo kutokana kuna mshikaji ana mtoto wake ila mwanamke aliyempata anamlazimisha amrudishee kwa mama yake mzazi na yeye ndo atakubali kuishi na yeye.....

Sio hivoo tuu niliwahi kushuhudia kuna mdada aliwahi kumpiga mtoto wa mshikaji mmoja ivi hadi akamuumiza kipindi mwana yupo katika miangaiko yake ya hapa na palee. .....

Lakini je katika yote haya ivi wadada ni kwanini mnakuwa wagumu kuishi na watoto ambao sio wa kwenuu
Kulea ni moyo wa mtu na si jinsia fulani tu. Wako Wanaume na Wakina Mama wanaokataa kulea hata Watoto waliowazaa.

Nakushauri Mlee tu vizuri huyo Mtoto yeye amezaliwa na hana hatia bali ana haki ya kuishi na anastahili upendo hata kama wewe sio biological Father wake. Mungu atakubariki
 
mnkola

Senior Member
Aug 18, 2016
125
225
Umesemaje? Nyie mko tayari kweli? Jisemee moyo kaka! Wanaume wengine hua wanakataa ndio maana wengi huwarudisha watoto kwa baba zao au ata kuwaacha kwa mabibi.
Kuna wanawake walio tayari kulea watoto wa mwanaume!!! Ila ni rahisi kama mama yako hayupo duniani! La sivyo ni mateso tu!

Sababu nyingine nadhani ni the fact kwamba mwanaume si mlezi!!! Mama ndo anashinda sana na watoto... Wewe huwezi ona adhabu ya kulea mtoto ambae si wako kwa sababu hushindi nae na ni ngumu kujua kinachoendelea nyumbani mchana
Ni kwel kabisa
 
Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
925
1,000
Imeandikwa waacheni watoto wote waje kwangu,watot ni thawabu,watoto ni neema watoto hawana hatia.
 
Siafu na Manga

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
2,754
2,000
Umesemaje? Nyie mko tayari kweli? Jisemee moyo kaka! Wanaume wengine hua wanakataa ndio maana wengi huwarudisha watoto kwa baba zao au ata kuwaacha kwa mabibi.
Kuna wanawake walio tayari kulea watoto wa mwanaume!!! Ila ni rahisi kama mama yako hayupo duniani! La sivyo ni mateso tu!

Sababu nyingine nadhani ni the fact kwamba mwanaume si mlezi!!! Mama ndo anashinda sana na watoto... Wewe huwezi ona adhabu ya kulea mtoto ambae si wako kwa sababu hushindi nae na ni ngumu kujua kinachoendelea nyumbani mchana
Ila kwa watu ambao nina ushahid ni dhahiri kuwa wababa wengi tu wameoa wanawake ambao tayari wana watoto na wanawapenda kweli...ila wakina mama wanavisa kweli kweli
 
MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,517
2,000
Mimi kuna mdada nilikuwa nina ishi nae na alikuwa ana watoto wawili na nilikuwa ninawapenda kama watoto wangu ,

Yaani nilijitoa kwa huduma zote kama baba yao mzazi, sasa siku moja kuna dada angu alipataga matatizo nikamuua kumchukua mtoto wa dada yangu niishi nae na nimsomeshe kwa kuwa dada angu alikuwa na kipato kidogo.

Basi tangu siku ile ilikuwa kama nogwaa yule mwanamke kila siku kisirani na yule mtoto wa dada angu nikiondoka wapangaji wenzang wakawa wananipa story jinsi alivyokuwa akimfanyia vibwanga na vituko mtoto wa dada.

Siku moja narudi namkuta dogo anapigwa ndani hatari nilivyomuuliza tatizo nini akaniambia kadokoa nyama jikono,

Ile hali ikaendelea mwisho wa siku nilimrudisha yule mtoto kwa dada baada ya mwezi yule mwanamke nikamuuua niachane nae .
Kuanzia yeye hadi watoto wakee ,

Baada ya miezi sita kupita alikuwa akinipigia simu kuniomba msamahaa turudiane kumbe yule mtoto alikuwa anamtesaa mnooo
Bila sababu yeyoteee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom