maisha ni hadithi, jitahidi sana hadithi yako iwe nzuri na njema kwa hao watakao simuliwa 🐒Wakuu kwema ?
Kuna jambo huwa linanishangaza saana yaani katika familia yetu au baadhi ofisini nilifanya jambo linakuwa linaongelewa sana liwe baya liwe zuri yaani maneno yankua hayaishi..
Likiwa baya nakua attacked saana na familia yaani Kila mwana familia anapigiwa simu na kupewa taarifa mpaka huwa nashangaa sana..
Na unakuta mtu anafanya jambo sawa na Mimi lakini yeye Wala huwezi sikia akiongeleawa popote utasikia kimya kama hakuna kilichotokea.
Kuna watu wengi sana waniombea mabaya niaharibikiwe kazini ila wapate kuthibitisha maneno yao na Mwenyezi Mungu anaendelea kunipigina huku akiendelea kunifungulia milango.
Sasa hii Hali huwa inanishangaza sana kwakweli.
Je hii Hali ukishakutana nalo na umewezaje ku deal nalo?
SHIKILIA SANA HAPA...MAOMBI DUA SALAMwenyezi Mungu anaendelea kunipigina huku akiendelea kunifungulia milango.
Nimejirekebisha saana.. waananza kunichukia kwa sababu waliokua wanayazingumza hayaonekani na maisha yanaendelea ndo wameanzisha chuki sasamaisha ni hadithi, jitahidi sana hadithi yako iwe nzuri na njema kwa hao watakao simuliwa [emoji205]
Jirekebishe ili utakapofanya vizuri upongezwe na kusifiwa na kwa bahati mbaya ukikosea ukosolewe na kusemwa kwa upole na upendroooo [emoji205]
Sawa mkuuSHIKILIA SANA HAPA...MAOMBI DUA SALA
kama ni kweli umejirekebisha sana basi uko on right track 🐒Nimejirekebisha saana.. waananza kunichukia kwa sababu waliokua wanayazingumza hayaonekani na maisha yanaendelea ndo wameanzisha chuki sasa
[emoji375][emoji375][emoji375]Mti wenye matunda ndio unapondwa mawe
Thanks a lotkama ni kweli umejirekebisha sana basi uko on right track [emoji205]
kuna muugwana apo juu amesema mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa zaidi [emoji205]
my friend,
hakuna kufanikiwa bila lawama na saa zingine dua mbaya za baadhi ya wana familia ndugu, jamaa na marafiki dhidi yako [emoji205]
what we normally do is to focus on our plans regardless of blames bihind our the target [emoji205]
Your hardworking and tiredness efforts on reaching your goals, is the only way of silence them.....
Najishtukia vp wakatii nayasikia na kuyaona?Unajishtukia.