STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Ngoja nikachungulie huko[emoji124]Zaman ulikua ukileta mada
Kama hyo yan inachangiwa
Na kushauriwa tena kwa
Ufasaha. Mkubwa sana
Ilikua ukileta mada yyt jf
Yan unapatiwa ushaur wa
Maana mpaka unaona hapa
Yenywe mungu kanijalia
Nmesaidika,,jamaa walikua
Wanatoa ushaur mzur sana
Bujibuji,inz,root,watu8
Mss chaga,cute b,madam b,
Mzizi mkavu,arushaone,
Tezad na,wengbine wengi
Hawa wdau walikua watoa mawazo ya maana co mchezo
Ila kwa sasa woi jukwaa
La maana n jukwa la
Biashara,uchumi,ujasriamali
Hlo ndo jukwaa liko serious
Kwa sasa
Hata sasa tunachangia boss.Zaman ulikua ukileta mada
Kama hyo yan inachangiwa
Na kushauriwa tena kwa
Ufasaha. Mkubwa sana
Ilikua ukileta mada yyt jf
Yan unapatiwa ushaur wa
Maana mpaka unaona hapa
Yenywe mungu kanijalia
Nmesaidika,,jamaa walikua
Wanatoa ushaur mzur sana
Bujibuji,inz,root,watu8
Mss chaga,cute b,madam b,
Mzizi mkavu,arushaone,
Tezad na,wengbine wengi
Hawa wdau walikua watoa mawazo ya maana co mchezo
Ila kwa sasa woi jukwaa
La maana n jukwa la
Biashara,uchumi,ujasriamali
Hlo ndo jukwaa liko serious
Kwa sasa
Aisee vip tena hyo avatar nikajua ni Joseverest [emoji12]Miss u too my broo[emoji7]
Habari za mida hii wapedwaa!???
Leo na swali na ningependa mnijbu km swali linavyouliza
>>Ni kwanini asilimia kubwa ya wachangiaji wa majukwaa ya chit chat & MMU hawako serious sana kwenye kuchangia mada, mfano mtu kaomba msaada/ushauri
Mfano:>> Nikiwa faragha na mpenzi wangu na wahi kufika kileleni wakati mwingine na shidwa hata kurudia tendo je tatizo ni nini!??? [/=]
Badala tumshauri km tunauelewa tunaanza kuingiza utani mwingi, kutag anaa salamu humo humo, tunasahau mada tunaanza vibunge vya kahawa, ni kwanini tusiwe serious tuchangie mada baada ya hapo tuanze hadithi, salamu , n.k!????
Mimi pia natabia hiyo sikatai lakini lengo la huu uzi, siyo vijembe bali nikurekebishana tuuu
NB: KAMA KUNANILIE MKWAZA ANIFATE PM, MSISAHAU kuna banned!!!![emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Avatar zenu zinafananaNadhani ni watu kutostaarabika au kutochukulia jambo kwa uzito
[HASHTAG]#MissYouSis[/HASHTAG]
Unataka kusema ndo mambo ya multiple auAvatar zenu zinafanana
Kaka na Dada tu mkuu.. Hamna mambo ya multiple IDs hapa hahahaAvatar zenu zinafanana
Unataka kusema ndo mambo ya multiple au
Unataka kusema ndo mambo ya multiple au
Kaka na Dada tu mkuu.. Hamna mambo ya multiple IDs hapa hahaha