Ni kwanini DP World na Siyo AIDAN

Ni kwanini DP World na Siyo AIDAN

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,097
Reaction score
2,312
Kwa msiojua toka Ticts waondoke anayehudumia bandari kwa sasa ni Mhindi ambaye ni Aidan group.

Huyu naye aliletwa kinyemela,pasipo hata wafanyakazi wa Ticts kujua wala kutaarifiwa kwamba sasa muajili wenu ni huyu badala ya yule.Wafanyakazi hawa waliajiliwa kwa kuingia mkataba na Ticts,ndani ya mikataba hiyo ya wafanyakazi wa Ticts kuna vipengele ambavyo vinahusu stahili zao kulipwa baada ya kuacha kazi au muwekezaji kuondoka.

Ticts kaondolewa pasipo wao kuambiwa stahiki zao zitakuwaje.Kila anayejaribu kuhoji huonekana mchochezi,.

Swali kubwa la msingi je AIDAN Group yupo pale kama nani na ni kwa nini serikali iingie makubaliano na DP World ili hali tayari kuna mwekezaji mwingine?
 
Back
Top Bottom