Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Sio wanawake wote ila wanawake wengi siku hizi wamegeuka toka kwenye maisha yao halisia na kuwa wanaharakati kuhusu wanaume bila wao kujitambua kama wao wameshageuka wanaharakati.
Katika uanarakati wanaoufanya utagundua hoja zao za msingi ni kuwaponda wanawake wanaolewa, kuponda watu waliokuwa katika mahusiano, kuponda wanaume za watu, kuwaponda watu wanaume wasiokuwa hela au wasitoa pesa.
Yaani mwisho wa siku hata katika full kuwazarau wanawake wenzao ambao anawaona katika mahusiano na wanaume ambayo yeye hawakubali kiitikadi.
Hivi tatizo ni nini wanawake wengi wamegeuka wanaharakati kuponda tuu maisha ya wenzao walio katika mahusiano au mapenzi.