Mwulize mwenyeji wa mkutano. Yule profesa wa uchumi alialikwa?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
nngu007,Uchoyo na Ulafi wa CCM utawakufuru... Huyu Rais Mwenyewe hana zaidi ya Miaka 2; na Unajua walikuwa ni Marais Mbalimbali lakini wa Kenya hakutokea; wa Rwanda zii; wa Malawi kapotea; kwahiyo Usifurahie kisichosimama...
Unafiki ndio KOSA
documents za kikao zipo kwenye dust bin pale airport VIP, zote ziliachwa wakati washiriki wakipaa mkutano huu ulikuwa ni INTERNATIONAL BUFFET IN TANZANIA kama ilivyo mikutano yote inayoandaliwa bongo, sema tu wakubwa wanakula zaidi ya buffet kwa kuongeza pesa za matumizi na kuunda kampuni za kuhudumia mkutano.
Phd kazakhstan , June 30th, 2013
nngu007,
Sitaki kuamini kama Rwanda awakupata mwaliko ama Malawi, sina uhakika kama ni wanachama, ila Kenya dharura yake ilitangazwa. Sidhani kama serikali imefanya ulafi wa aina yoyote kwenye huu mkutano, ukizingatia watu mashuhuri wa hapa hapa nyumbani walikuwa wengi. Jambo la kushtua ni kwamba ilikuwaje watu wa muhimu na wenye ushawishi kwenye jamii kama Dr Slaa wasihudhurie?
HAMY-D
Unaandika kitu ambacho hukijui lakini unajifanya unajua mwisho unaomba kujulishwa?
Shame of u!
Sawa kabisa wala hujakosea :clap2::clap2::clap2:Talking kuhusu kujifanya well informed, si ni wewe ndiye unajifanya unamjua Nyerere eti ni mzazi wako? na ukataka kupotosha watu humu waamini hivyo, ila baada ya kubanwa sawasawa ukaleta utetezi wako dhaifu ila bado ulikuwa na chembechembe za kutaka kukuhalalisha wewe kuwa mtoto wa Mwalimu, mkuu kwanini ulidanganya watu?
Mimi siwezi kujifanya najua wakati najua kuwa sijui, ndio maana kichwa cha huu uzi kina alama ya kuuliza! kama hujui maana yake hiyo alama, kiukweli siwezi kukusaidia.
ILA MKUU PUNGUZA UJUAJI, BINADAMU HATUKO HIVYO!
WanaJF!
Hivi karibuni Tanzania ilikuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa ulioenda kwa jina '2013 GLOBAL SMART PARTNERSHIP' ambao uliongozwa na rais Jakaya Kikwete uliofanyika hapa Dar es salaam. Mkutano huu ulihusisha wadau mbalimbali wakiwemo marais, mawaziri, wafanyabiashara wakubwa, wanasiasa na watu mashuhuri.
Ni mkutano ulioipa Tanzania heshima ya kipekee sana katika historia ya nchi yetu, hasa ukizingatia ujumbe wa mkutano huo na ajenda mbalimbali zilizo jadiliwa zenye kulenga kuiwezesha nchi yetu kufanya mapinduzi ya teknolojia ya habari na mawasiliano.
Jambo lililo nishangaza kwenye mkutano huo ni kukosekana kwa uwakilishi wa vyama vya siasa hasa vya upinzania, ukizingati mambo mengi yaliyo jadiliwa yana athiri taifa letu hasa kwenye nyanja ya teknolojia. Kwa vyama vingine sitaweza kuvijadili kwa kuwa ina semekana ni CCM-B, lakini ilikuwaje CHADEMA hakikushiriki?
Kama itakumbukwa, April 8, 2013, Dr Slaa alishiriki kwenye mkutano wa CEO Round Table, na nilimpa pongezi sana kwa kushiriki kwake kwenye mkutano huo, kwani ajenda ilikuwa inazungumzia 'PUBLIC PRIVATE PARTNERSHIP', ambayo ni ajenda nzuri na yenye tija kwa taifa. Lakini iweje hii ya GLOBAL SMART PARTNERSHIP asishiriki? ni kwamba serikali imemtosa au yeye hakupenda kujihusisha na mambo ya serikali?
HAMY-D
Unaandika kitu ambacho hukijui lakini unajifanya unajua mwisho unaomba kujulishwa?
Shame of u!
Uchoyo na Ulafi wa CCM utawakufuru... Huyu Rais Mwenyewe hana zaidi ya Miaka 2; na Unajua walikuwa ni Marais Mbalimbali lakini wa Kenya hakutokea; wa Rwanda zii; wa Malawi kapotea; kwahiyo Usifurahie kisichosimama...
Unafiki ndio KOSA