Ni kwa neema tu!


mi nahisi wa humu siwawezi kabisaa umujin mwingi mno ee mola eeee!!
 
Usimuombe akuepushe maana humu humu inaweza kuwa ndiyo njia aliyopanga kukupitishia bahati yako, muombe akupe upeo mpana wa kuchambua (busara) maana huwezi kujua wapi bahati yako itapitia!!!

lem say inshallah japo sitarajiii mitandaoni kabsaaaaaaaaaaaaa.
 
Usimuombe akuepushe maana humu humu inaweza kuwa ndiyo njia aliyopanga kukupitishia bahati yako, muombe akupe upeo mpana wa kuchambua (busara) maana huwezi kujua wapi bahati yako itapitia!!!

lem say inshallah japo sitarajiii mitandaoni kabsaaaaaaaaaaaaa. NEVER..
 
Kwa kweli ni kwa Neema tu,jeuri yote tuliyonayo ni kwasababu ya uzima ambao Mungu katupa,hapa nipo msibani sasahiv nikitafakar kweli ni kwa neema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…