amina,mpenzi wangu anaumwa tusaidiane kumuombea
amini atapona tu!! kaa nae karibu umpetpet labda..........
yule uliyempata humu?
humu kwa humu zimekua nyingi sikuhizi lol mungu aniepushie mbali!!
humu kwa humu zimekua nyingi sikuhizi lol mungu aniepushie mbali!!
yule uliyempata humu?
Usimuombe akuepushe maana humu humu inaweza kuwa ndiyo njia aliyopanga kukupitishia bahati yako, muombe akupe upeo mpana wa kuchambua (busara) maana huwezi kujua wapi bahati yako itapitia!!!
hah hah hiko kikatuni chako kama kinajiandaa kwa mapambano vilee kinaniogopeshajee..