Ni kwa Mara ya kwanza

Mzoefu kusoma kilicho andikwa humu na hawa wadau makini km wewe lkn kutoa mada au kushare chochote humu bado
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Asanteni wadau makini tupashane habari tujuzane mambo ambayo yataijenga jamii ya kitanzania
 
mimki nimeona kaweka avatar matata tayari...nikajiuliza huyu mpya kweli?
Ujiunge jana na kuweza kuanzisha mada? hapana mimi nilijiunga 2014 lakini nimekuja kuweza kutumia Oct 2016 na kila siku nilikuwa naingia humu lakini nilikuwa sielewi watu wanafanyaje na kujiunga kwangu hata ukiniuliza leo sielewi nilijiungaje. Kifupi huyu ni mzoefu sema ana tuchora kiana
 
Back
Top Bottom