Ni kusema tu mabaya ya Samia, mazuri aaaaahhh!

Ni kusema tu mabaya ya Samia, mazuri aaaaahhh!

Mkuu nadhani upo kusaidiana na dada ako kuosha vyombo apo kwa shemeji yako, ndiyo maana unaropokwa uharo.
dada yako ana trako lakin, naona unampigia debe sana, ok tamtafuta niki pata muda mkuu, mwsmbie ajue kukatika lakini sichukuwag gogo
 
Alilipa mabilioni ili mafuta ya petrol yasoipande kuepusha mfumuko wa bei.

Wazalendo wakagoma hela za halmashauri zisitoke, hazirejeshwi akawa mbogo na hela zikarudi kwa wananchi.

Watoto wenu wa kike walipewa pewa ujauzito wakakataliwa kurudi shule ye akawarudisha.

Maghorofa kariakoo na Tanzania nzima yanaota ka uyoga baada ya kusimama kwa muda mrefu

Wanafunzi diploma eti nao wanakula mkopo dah, huyu mama ana pepo yake wallah.

Changamoto yake ni utekaji tu mbona we hujatekwa hivo ukitekwa jiulize umekosea wapi, japo na amini jilo jambo litakoma siku moja ila nasi tuwe na adabu mama kakubali kukosolewa ila kwa staha si kisela hivo,

Nitarudi.....

IMG_20251028_111003.jpg
 
Ni siasa za maji taka tu, upinzani nchi hii hawana hoja kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom