Ni Kuhusu Opera Mini Next.

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Msaada wakuu. Hii browser iko poa sana, ila kuna issue inanitatiza kidogo. Kwenye ile version ya mwanzo nilikuwa naweza ku-save page kupitia: Options>Tools>Save Page. Kama kuna mtu anaejua namna ya kufanya hii kitu kwenye Opera Mini Next naomba anipe maelekezo.
 
click red button (O) upande wa kulia chini. utaonaa options zimefungka then save page pale kati.
easy as ABC
 
Thanks mkuu, lkn hiyo unayoizungumzia ni old version ya Opera Mini. Nilitaka kujua inakuwaje kwenye version mpya inayoitwa "Opera Mini Next".
 
opera mn next haiko tofauti ktk kusave page na zile opera mini za zaman
 
Msaada wakuu. Hii browser iko poa sana, ila kuna issue inanitatiza kidogo. Kwenye ile version ya mwanzo nilikuwa naweza ku-save page kupitia: Options>Tools>Save Page. Kama kuna mtu anaejua namna ya kufanya hii kitu kwenye Opera Mini Next naomba anipe maelekezo.

Kweli hakuna tofauti katika ku save pages coz me natumia bb na hiyo option  naikuta sehemu ya kawaida "Saved pages" na hapo hapo ndo natumia kusave!! No changes
 
Back
Top Bottom