Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Wachambuzi wa lugha kama mupo hebu tuwekeeni sawa na kuwaweka sawa hawa wanaokaa wakisema Hayati Baba wa Taifa.
Inawezekana hawaelewi maana ya neno hayati na wanashindwa kuona tofauti na neno Marehemu ,yaani nionavyo ingekuwa Marehemu Baba wa Taifa.