Si kosa. Ila ukimaliza kaionyeshe kwa vyombo vya usalama isajiliwe. Mbona Alexander Kalachnikov-AK47 alianza hivyohivy
nana na vyombo vya usajili na hatimiliki ili wasajili na wakumilikishe utafiti na uvumbuzi wako.itakusaidia unachofanya kisichukuliwe illegal na wasije iba
ujuzi wako!
Pia si vibaya wakati huu unaendelea na utafiti,shirikiana na maafisa wetu wa pale Mzinga,wata add value kwenye utafiti wako.