Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Huyu mtu alisaliti chama kwa kuwa karibu na CCM na kuuza mechi tena mchana kweupe.
Alijifukuza kwenye chama kwa kukosea katiba ya chama.
Akaanzisha chama chake huku tukielekea ktk uchaguzi mkuu.
Ni huyu Zitto ndiye aliyeiangusha NCCR Mageuzi Kigoma na kuwapa shida NCCR ambaye ni mshirika wa UKAWA.
Ni Zitto ndiye aliyeiandikia barua UKAWA kutaka kujua masharti ya kujiunga UKAWA(akilenga kujiung) lakini hakujibiwa hadi leo.
Huyu jamaa huwa ni "mtafuta fursa", huwa anawinda upenyo wa kuchomoka kisiasa.
Zitto anajua hawezi fanya vizuri akiwa kuwadi tena wa CCM, hawezi fanya vizuri tena akiwa peke yake kama akina Mrema na Cheyo wa wakati ule.
Amejikuta anawahitaji UKAWA kujijenga binafsi kisiasa. Ni kosa kubwa(a grave mistake) kumwacha Zitto ndani ya UKAWA kwani dhamira yake inajulikana, kusaka umaarufu, kuimarisha chama chake na kutafuta fursa.
Akiachwa ndani ya UKAWA hakika haitobaki salama kamwe.
Shukrani A. Ngonyani
Februari 05, 2016.
Tanga,
00255784379799