Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

Aboud Jumbe alikuwa Kifungoni kwa Amri ya Julius Nyerere ,Chini ya Uendesha mashtaka wa Maalim Seif Sharif Hamad na Nassor Moyo. Kosa lake ni kutaka serikal tatu anazolilia Seif. Kifungo chake kitamalizika wakati anapelekwa Kaburini
 
CCM ni Laana kwa Watanzania ... R.I.P Mvungi, R.I.P sokoine, R.I.P Kolimba, R.I.P Imran Kombe, R.I.P Mgimwa, R.I.P Daud Mwangosi, R.I.P Ballow, R.I.P JKN ...
 
jamani vijana mbona mna maswali magumu hivi ?
 
Kuwa kizuizini ni kuwekwa chini ya ulinzi bila kikomo na bila kufikishwa mahakamani. kwa kifupi uwa ni amri ya mtawala kudhibiti anaowaita wabaya wake na ambao mfumo wa sharia wa nchi husika hauwezi kuwadhibiti.
 


AHAHHAAHH!! Kaka Mussolin5, Hujui kuwa kuna watu wa KITENGO..au umejitoa ufahamu mkuu.
 
Maelezo ya kina kuhusiana na mkasa huo fungua uzi huu.
 

Attachments

  • 1442844250436.jpg
    41.9 KB · Views: 346
Ili uwekwe kizuizini ni lazima uhukumiwe, huwezi kujiweka mwenyewe. Hii ni hukumu pia.

Sheria ya kuwaweka watu kizuizini ni sifa mojawapo ya utawala wa kidikteta. Rais anakuwa na mamlaka ya kumfunga mtu jera au kumzuilia kwake bila kumfikisha mahakamani. Haya yalifanywa sana na Nyerere katika utawala wake, ndicho kilipelekea aogopwe sana. Alitumia pesa za uma kuwashikisha adabu maadui zake na kujenga magereza.
Baadhi ya sifa za utawala za kidekteta ni: kuweka watu kizuizini, kuthibiti vyombo vya habari, kuzuia vyama vya upinzani, rais kuwa amiri jeshi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…