Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

Bhac mkuu nimekosa,maana watu ukweli hawataki kusikia.
Yupo huru kama JK au Karume au Salmin Amour,umefurahi sasa...!!??
Achana nae.. kitabu chake The Partnership ameeleza kinagaubaga sasa huyo si atakuchosha tu.
 
Achana nae.. kitabu chake The Partnership ameeleza kinagaubaga sasa huyo si atakuchosha tu.
Tunyamaze mkuu ,tunatakiwa tuimbe zile nyimbo za zidumu fikra za mwenyekiti la sivyo sheria ya makosa ya mtandao inakuhusu kwa kusababisha uchochezi.
Ila huwa najiuliza,hivi vitabu vinaandikwa kwa ajili ya kazi gani kama si kusomwa...!!???
 
Kumbe huyu mzee aliyaona haya cku nyingi kabla ya rasimu ya jaji aisee alikuwa kichwa hongera zake maana kwenda tofauti na Nyerere inaonyesha ilikuwa hatari kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…