Ni kodi gani zinapaswa kulipwa kwa kuagiza gari nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kodi gani zinapaswa kulipwa kwa kuagiza gari nje?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Shakazulu, Aug 28, 2008.

 1. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2008
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wana JF,

  Mimi ni mwanchama wa jamvi hili mwenye makazi nje ya Tanzania ila hivi sasa ninapanga kurudi nyumbani.

  Ningependa kuelimishwa kuhusu kodi ambazo nitatakiwa kulipa endapo nitaingiza gari toka nje. Details za gari lenyewe ni hizi hapa:


  Model: NISSAN X-TRAIL 2.0i SE+ 5dr Station Wagon (4X4)
  Year: 2002
  Engine size: 1980 cc
  Price: £3,250
  Country: UK

  Natumaini hizi details zitatosha kupata rough estimate ya kodi nitakazotakiwa kulipa.

  Natanguliza shukurani zangu
   
 2. C

  Chuma JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duh watu naona wamekuchunia...Swali lako la msingi mno maana ndugu zetu wa TRA wanatumia Ujinga wa watu kuwaibia...ushauri wangu ni vema ukabishane nao na uwaambie unataka Ulipe TAX Halisi...hawa Jamaa wananuka Rushwa!!!
   
 3. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2008
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Sio rahisi sana kukuambia lakini nitajitahidi kwa kuwa mambo mengi huwa yamejificha katika mfumo wetu wa kodi hasa suala la thamani halisi ya gari. Kulingana na mwaka lililotengenezwa gari hili (2002) thamani kwa ajili kutoza kodi inaweza kufikia CIF $12,000 (Samahani natumia $). Import Duty itakuwa 25% = $3,000, VAT 20% = $3,000 {(CIF+Importduty)*20%}. Halafu kuna gharama za bandari na Clearing agent zinazoweza kufikia $500. Gharama za kuandikisha zinafikia $400.
  Lakini kama uko nje ya nchi na umeshalimiliki gari hilo kwa zaidi ya siku 366 (sio chini ya hapo na pia uwe umeshakaa nje zaidi ya siku hizo, zitaangaliwa kwenye pasport na kadi ya gari), basi hutatozwa import duty wala VAT. Hizo nyingine utatozwa.
  kama garti hilo lingekuwa na zaidi ya miaka 10 basi kungekuwa na kodi ya ziada ya gharama za uchakavu wa 20%.
   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Samahani wajameni.

  Hivi niikiingiza Tractor la mwaka 1967 nitatozwa hiyo 20% ya uchakavu?
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mzee Madela hilo Tractor linatembea ama mzee unaleta chuma chakavu?
   
 6. Typical

  Typical JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 261
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kwa kutumia details ulizotoa nimeziingiza kwenye system ya TRA (Asycuda++)


  Zimerudisha majibu haya

  IMPORT TAX 25% of CIF - 2,215,385.2
  VAT - 2,215,382.2

  TOTAL Tshs 4,430,764.4

  Note:Hiyo price yako nimeichukulia kama ni FOB hivyo nimeestimate kuwa utatumia £500 kwenye usafiri and insurance £50.
   
 7. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145

  Tractor ni farm mashinery na ina msamaha wa kodi hata kama lingekuwa lile la kwanza kuvumbuliwa. Ukileta utalitumia kusaga au kusukuma maji for real hapa nampongeza aliyefikiria kufanya hivyo ila pia wakulima wanaoweza kutumia nafasi hii ni kiduuchu. Hayo ni mawazo yangu lakini Bw. Madilu!
   
 8. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2008
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nashukuru sana wote mliochangia. Mmenipa mwanga wa kodi ambazo nategemea kulipa.

  Lets keep up the good spirit of helping one another. asanteni sana
   
 9. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Brothers,

  This is the correct and most Latest info:

  1. Import duty 25% of the CIF
  2. VAT 20% of the CIF
  3. Excie duty of the CIF of every impored Car:

  (a) Engine Capacity less than 1000CC NIL,

  (b) Engine Capacity between 1000-2000CC - 10%,

  (c) Engine Capacity Exceeding 2000CC 10%

  (Hii ni kwenye sheria mpya ya fedha ya mwaka 2008)

  4. Annual Motovehicle Licence fees Exceeding 1500CC not exceeding 2500CC -100,000/=, Exceeding 2500CC not exceeding 5000CC - 150,000/=.

  5. Registration fees: 120,000/=

  6. Number Plates: 36,000/=

  7. Usisahau kwamba pia, kama gari lina zaidi ya miaka 10, kuna Excise duty of 10% of CIF S

  So kwa ujumla utatakiwa ulipe kodi ya asilimia 55% (compaunded which mya become 60%) of CIF kama gari halijazidi miaka 10.

  Au Asilimia 65% (compaunded which my become 70%) of the CIF kama gari limezidi miaka 10

  Habari ndio hio, hizi rates mpya (Number 3 na 4) zimepitishwa na bunge na zimeanza kutumia kuanzia tarehe 1 July 2008.
   
  Last edited: Aug 30, 2008
 10. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mbona hilo jipya kabisa.
  Hapa nilipo yupo mzee mmoja ana Tractor ya mwaka 1952 nimekwisha iendesha mara kadhaa iko ngangari kabisa.
  Kule Kilosa na Kilombero kwiro na Ifakara italeta tija.

  Hebu ona hiyo MF ya mwaka 1965 kisha linganisha na Matrekta unayo yajua wewe kutoka Arusha na kule Moshi au Mwanza.
  http://www.tractorhouse.com/listings/detail.aspx?OHID=5394343&GUID=99B2DC658D294A1DBC52CAC9B07CCAB5

  http://www.tractorhouse.com/listings/models.aspx?ETID=1&catid=1100&Manu=MASSEY-FERGUSON&GUID=99B2DC658D294A1DBC52CAC9B07CCAB5

  http://www.tractorhouse.com/listings/manufacturers.aspx?ETID=1&catid=1100&GUID=99B2DC658D294A1DBC52CAC9B07CCAB5
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Great,

  Nakupongeza kutaka kuleta tractors, nchi ya wakulima ile, Mkapa alikuwa anazungumzia utandawazi wale wakulima wa jembe la mkono, kule kilosa, kwilo, Kandaga, muyoboze Kaseke na Mchinga walikuwa wanamwelewa kweli? I m convinced na idea yako, hebu ni pm details nami naweza peleka tractors kadhaa kijijini, kule hutumika kama vyombo vy usafiri na ambulance wakati mwingine

  Ushi


   
 12. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  TRA tax the wrong products at high rates. Yaani 60% hadi 70% ya original price??
  Tungekuwa na bidii ya kupata tax kwenye utajiri ulio nchini ingesaidia duuh!!
  Ama kweli waafrika ndivyo tulivyo!

  Nilifikiria kuna limit ya miaka 10?Kumbe wanaongezea 20% ya uchakavu. Habari nzuri maana kuna 110, Defenders zinakita vizuri kabisa.
   
 13. Mchelle

  Mchelle Member

  #13
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  thanks mwana JF,
  that was very useful information for all the JF and i urge also others to share some informations we have for evryone.

  thanks!
   
 14. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Matrekta, Malori, Pickups na Mabasi hayana kodi ya uchakavu.
   
 15. R

  Renegade JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  VAT ni 18%
   
 16. M

  MAMU35 Member

  #16
  Feb 27, 2014
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naomba kujua mpaka sasa hii formula inatumika ?
   
Loading...