Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Swali: je ni kitu gani kinachoweza kukufanya uachane na mke/mme/mpenzi wako?!Ni kitu gani unafikiri akifanya au kikitokea kwenye mahusiano yenu baada ya muda hutoweza kuendelea kuvumilia?!
Binafsi vitu ambavyo vinaweza kuniondolea yale mapenzi nlokua nayo mwanzo ni ....
1. Kunipiga - mwanaume kuniinulia mkono mwanamke mzima ambae kama kuna tatizo angeweza kunijulisha kwa njia nyingine na likatatulika kwa kweli siwezi kuvumilia.Maana ukichekelea leo jiandae na kesho!!
2.Kutoka nje ya mahusiano. - sijui kama itatokea siku nikabadilisha mawazo kuhusu hili ...kwa sasa hivi naamini kama mtu ananipenda na kuniheshimu kweli hawezi kutoka nje ya mahusiano tuliyonayo.Kama kuna kinachokosekana aniambie nirekebishe.
3.Kunidharau/tukana mbele za watu - inaonyesha haniheshimu...na kama haniheshimu siwezi kuona tukiendelea hata kufika mbali zaidi ya kua wapenzi tu maana kuheshimiana ni muhimu.
4. Kuonyesha kutokujali hisia/mawazo yangu - mtu ambae anamwachia mwenzake kazi nzima ya kujenga mahusiano ni sawa na mzigo mzito ambao unabebeka ila baada ya muda unachosha.Kuna watu ambao wao hata kumjulia mwenzake hali hawezi...kusongesha mahusiano mbele hawezi..yani we unakua na kazi ya kumpeleka upande huu na ule bila kujua kama kweli ndo kilichopo moyoni mwake.Kama unamlazimisha vile au anafanya tu kukuridhisha uendelee kuwepo kwa muda ule ambao anaweza kutumia uwepo wako.Ubaya wa watu kama hawa ni kwamba hata siku akiamka akakwambia sikuwahi kukupenda huwezi kumbishia kwasababu hakuwahi kukwambia wala kuonyesha kwa matendo!!
5.Ubinafsi - mtu wa mimi..mimi ..mimi.Kila kitu ni vile anavyotaka yeye au hamna kitu.Wakati mahusiano yanatakiwa yawe makubaliano na michango ya pande zote mbili.
6.Ulalamikaji/kutokua na shukrani - hata ufanye zuri gani huwezi pata asante na mbaya zaidi utaambulia malalamiko.
7.Kutokujiamini kulikopitiliza - maana mara nyingi hii hua inazaa tuhuma.Anakua hana imani kwamba unampenda kweli au ukienda sokoni unaenda kununua nyanya tu na kurudi.Tuhuma zikizidi zinaua hisia zilizokuwepo.
N.k....
Wewe je....?!
Deka Laaziz deka.........furahia masha katika mwanga bora mamii wala hugombwi hahah.............Kloro shem wangu hongera!
AHSANTE!!haya yote ukiyajumlisha ni kuwa hakuna upendo moyoni mwake..........kwa hiyo hakuna malalamiko ila kukubaliaa na hali iliyopo au kufungasha virago vyako..................because you are tworthy more than he is willing to give to you..............................kwa hiyo nionapo hakuna reciprocating love or there is unrequited love..............I know I should be angry to no no one but accepting the situation as it comes..................
Deka Laaziz deka.........furahia masha katika mwanga bora mamii wala hugombwi hahah.............Kloro shem wangu hongera!
AHSANTE!!
Namiss kibutton cha THANKS!!!
senks shem! Naskuru sana kumpata Lizzy kwasababu yeye yeye ni mchumba halaf yeye mwenyewe ni kungwi, wazungu wanaita 2 in 1 au buy one get one free.
acha nikashoneshe suti a harusi.
Hahahah..Dah kweli ulifanya survey kwanza mbona umekula bingo shem wangu!!............... nikikorofisha huko nkimtuc mtu Mwanaume gani ......ah sina shaka mbio kwenu najua kungwi atanfunda nsirudie tena au nituc matuc ya mapenzi yae ya .......Mwone vile, mi nakupenda uko........kwa sauti laini na deko la haja!
Yaani we acha tu Mbu mie bwana huwa nina matuc yangu ambayo nayatoaga kwa uchungu sana sasa inategemea na mhucka mwenyewe anavyolipokea (akiwa katikati ya hacra-LOL sijui ndo namtetea?!) mf. We mwanaume gani lakini usiyejali hisia za mpenzi wako?? hapo anawezaamua asisikilize mwisho wa sentensi akachagua kusikia tu we mwanaume gani..............
Mpenzi ukilema unakuja pale unaporuhusu kua punching bag...day in...day out!!
Hahaahaha....we sema ni visa tu!Ingekua kweli unajua sana cha kufanya...unanunua pair alafu huikati!!!
hahahaha asiwe na hofu, mimi ni mzoefu sana kwenye hizi kesi. Hivi sasa nipo kwenye kampeni ya kumrejesha Lizzy kwa ex wake, na soon nitafanikiwa.
senks shem! Naskuru sana kumpata Lizzy kwasababu yeye yeye ni mchumba halaf yeye mwenyewe ni kungwi, wazungu wanaita 2 in 1 au buy one get one free.
acha nikashoneshe suti a harusi.
mbu swalama?...
swaumu aje arif?.....
nimekukumbuka sana.........
rizwaaniiii seeeemaaaaaaa....seeeeemaaaaa usiogopeeee seeeemaaaaaa
sisi wana mmu hatuogopiiii wasaniiii seemaaaaaaa.....
Rizwani mzima lakin?.....
nimekukosa sana....
msamilie klorokwin
Dah kweli ulifanya survey kwanza mbona umekula bingo shem wangu!!............... nikikorofisha huko nkimtuc mtu Mwanaume gani ......ah sina shaka mbio kwenu najua kungwi atanfunda nsirudie tena au nituc matuc ya mapenzi yae ya .......Mwone vile, mi nakupenda uko........kwa sauti laini na deko la haja!
Ulipoweka hiyo Kanga tu akili zote zimenipotea! hivi tunajadili nini vile? halaf sjui swaumu haijatenguka?
Khaaaa! haya ndio nilokuwa namueleza gaga!
ni khanga au alievaa khanga?lol
swaumu ya leo,we acha tu lol
emjeiwani upo mamaangu?
habari ako binafsi baaaanaaaaa!
nakumisi sana mamaaaaa la kulivua pendo....that was the thread of the threads...hehehehe!mbu na klorokwin wataunga mkono hoja pasi na kuomba miongozo!....
nisalimie mamaaa la nyamayao mwambia yeye mfalme ya amani anamkumbuka sana manake alinambia mpo wote doha!.....
nakukumbuka sana emjeiwan!
pamoja sana