<span style="font-family: comic sans ms">Binafsi mimi siamini kwenye kuachana especially watu wakishafunga ndoa. Ni bahati mbaya sana. Naamini yoote uliyoyaorodhesha hapo juu yanazungumzika na yanarekebishika provided kuwamba binadamu anatabia ya kujifunza na kujirekebisha (though sio wote). Sasa Lizzy kama mimi ni muhusika ukazungumza na mimi na nikajirekebisha bdo utasisitiza kuachana?</span>
Kuacha kunipenda..., cause mtu akiwa hakupendi atakufanyia visa...
Akufukuzae akwambii toka....
Therefore mabadiliko yaliyopelekea mimi kumpenda yakibadilika inamaanisha niliyempenda sio niliyenae sasa
mwanamke asiyeijua dini kiukweli siwezi mvumilia.
Atakauwa anakosa misingi fulani muhimu katika maisha yetu ya kila siku.
Kama maandiko yanavyosema"kumcha mungu ni chanzo cha maarifa".
Bila shaka mwanamke asiyeijua dini ndo itakuwa moja ya sababu kwa upande wangu.
Habari Lizzy,kupenda ni pamoja na kubeba/kuvumiliana kwenye mapungufu tuliyonayo nafikiri ni viumbe wachache ambao wanakosa kimojawapo ya ulivoandika.Ukishapenda rafiki kuna wakati hata hayo mapungufu huwa hatuyaoni.
Mkirua niliweka neno "baada ya muda" nikiwa na maana kwamba mhusika hana muda wala nia ya kubadilika.
Swali: je ni kitu gani kinachoweza kukufanya uachane na mke/mme/mpenzi wako?!Ni kitu gani unafikiri akifanya au kikitokea kwenye mahusiano yenu baada ya muda hutoweza kuendelea kuvumilia?!
<br />LX embu fafanua kidogo...asiyejua dini vipi?!Maana unaweza kuta mtu kwenye nyumba za ibada hakosi ila moyoni mwake hana Mungu yeyote...na mwingine nyumba za ibada sio muhimu kwake ila Mungu kambeba moyoni!
<span style="font-family: comic sans ms">Ni sawa Lizzy lakini kama hujaingia kwenye mahusiano tegemea kukutana na hayo mambo at least baadhi kama sio yote.... na ujiandae kuyavumilia yale yatakayoshindikanika kurekebishwa. Mathalan nakufokea mbele za watu na sibadiliki. Are you going to dirvorse?Je utaachwa/utaacha wangapi? Kwanini nwewe kwa upande wako usijaribu kurekebisha hali ya kufokewa hovyo? Hudhani wewe ndio chanzo?Some of the things tunapaswa kuvumiliana huku tukiendelea na juhudi za kuelimishana na pia kuomba vinginevyo dunia itajaa walioacha na kuachwa tu....</span>
sorry kwa kudandiaLizzy,
Ma-Bachela na Ma-Single huwa mnanifurahisha sana! Mambo yenu ni ya kusadikika tu!