Ni kitu gani kilipoteza muziki mzuri wa Kenya?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Nakumbuka back in 2000s hapa bongo tayari bongo flava ilikuwa imebamba lakini bado tulikuwa tunakita ngoma za Kenya kwasababu zilikuwa za moto si mchezo.

Nakumbuka wasanii waliokuwa wanatoa ngoma kali kina e sir (rip), nonini, nameless, prezzo, nazis, n.k

Enzi hizo hata kwenye awards za channel O zilizokuwa kubwa kwa enzi hizo ninyi ndio mliowakilisha.

What went wrong?
 
Wabongo tulikuwa tunasikiliza mziki wa Kenya na Uganda sababu ya vipindi bomba vya chanel 5, siku hizi hamna tena
 
Kenya ilipigwa kick n afropop y west Africa. Hapo ndipo shida imeanzia

Nmeshangaa hat ule mziki wa heart the band ukapotez mashabiki kabisa
 
Back
Top Bottom