Ni kitu gani ambacho watu wengi hawakijui?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
(1) Kujifanya uko busy na simu yako ndiyo njia rahisi kwa watu wengi kuepuka hali au mtu mbaya

(2) Huko Italia, sio kosa kuiba chakula ikiwa una njaa.

(3) Kulingana na uchunguzi wa zaidi ya ndoa 3000, kadiri unavyotumia pesa nyingi kwenye pete ya uchumba, ndivyo uwezekano wa kuachwa utakavyokuwa.

(4) China ina time-zone 1 tu huku Ufaransa ina 12

(5) Futa cookies za browser yako kabla ya kununua tiketi ya ndege mtandaoni. Bei za tiketi hupanda unapotembelea tovuti ya usafiri mara nyingi.

(6) Kunywa glasi 3 za maji kabla ya kulala huongeza uwezo wako wa kukumbuka ndoto zako.
 
Hii namba sita (6) sijui Kama kuna uhalisia
 
namba moja ndio mtindo wangu huo nikimuona mtu ambae sitaki ajue nimemuona.
 
Siasa ndio kazi pekee Tanzania ambayo hata asiyejua kingereza anatunga sheria kwa kingereza

Pia wanasiasa wa Tanzania ndio wanaoweza kupitisha jambo kwa mbwembwe wakiwa na matarumbeta na siku wakitaka kulitupilia mbali pia wanaita tarumbeta kushangilia wakiachana na maamuzi yao
 
Back
Top Bottom