Ni kitu ambacho hakiwezekani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Kukumbatiwa au kukumbatiana ni Sehemu ya mapenzi hasa mlalapo, lakini ukiwa na mwenza ambaye hataki kabisa kukumbatiwa au ambaye Anataka kukumbatiwa Usiku wote basi hapo kuna shida, au pia wapenzi ambazo hawakumbatiani kabisa kabisa hapo pia ni tatizo

Mi mwenzenu akha..!nakumbatiwa, nakumbatia, tunakumbatiana lakini c Usiku mzima la hasha...!
 
heee!! ujaona jukwaa la kupeleka haya makaranga yako?
nani amekwambia chitchat ndo sehemu ya kiutu uzima hapa?
wanishangaza bestito!!
 
Teh... mi hata asiponikumbatia, ili mradi mkono wake uikumbatie nonino yangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…