Ni Kipi Kivumiliwe Kwenye Mahusiano?

Ni Kipi Kivumiliwe Kwenye Mahusiano?

katika mahusiano tujifunze kuwa wavumilivu na wastamilivu iwe katika umbali na kutokuwepo!
 
mhm hamna cha kuvumilia wala nini....haa ni kwamba ppl shouldo do away with this long distance relationship

huyo bidada hakumjua huyo mumewe vizuri becoz jamaa alikuwa yupo nje.
 
The Boss wa kipindi hiki ni tofauti na niliyekua namsoma kipindi cha nyuma kabla sijiunga na JF,wasikuizi amekua harsh,hana huruma ushauri wake niwahapo kwa hapo

Noted..Polee sana..atarudi
 
Last edited by a moderator:
My question is, where is the malice in The Boss's comment?

Thank you for understanding...Zamani nilitumia pc now simu so najaribu message iwe short and clear...kumbe inatoka harsh for some
 
Last edited by a moderator:
Thank you for understanding...Zamani nilitumia pc now simu so najaribu message iwe short and clear...kumbe inatoka harsh for some

Hata utake huwezi kuwa na huruma kwa kila mada.

Some need a kick back to reality so simple sense can be used.
 
Back
Top Bottom