Kwa upande wangu naona kama wapinzani wanaanza kwenda tofauti na neno upinzani kwa kutafuta namna yakuonekana kuwa ni watanzania zaidi kuliko serikali iliyopo madarakani, kwa kujaribu kujitia unyonge eti kwamba wanaonewa na kuwaaminisha wananchi hivyo, lakini huu ndio upinzani ulivyo? Haki haitafutwi kwa kuvunja sheria.
Upinzani unamaana mbili, kwanza ukiitwa mpinzani maana yake umeshindwa uchaguzi kwahiyo vumilia mpaka uchaguzi mwingine utakapo fanyika, pili ni kuikosoa serikali Iwapo itakosea aidha kwenye maamuzi yake au katika kutekeleza mambo kadha wa kadha ndani ya nchi. Upinzani wetu nchini umekuwa wa kwenda na matukio. Imefikia hata matukio ya majonzi kama misiba na kadlika inafanyiwa siasa ili kuifarakanisha serikali na wananchi wake,kujenga picha kwamba serikali haipo kwa maslahi ya taifa wakati ni serikali ya nchi hii.
Serikali ipewe nafasi ya kujenga nchi,kazi ya upinzani ni kukosoa sio kuandamana na kusababisha watu kuumia kisa kufuata barua,mnaudhi mno. Upinzani kwa sasa umekuwa hauna nguvu kwasababu tu ya kukurupuka na kukosa strategies. Hayo ni maono kwa upande wangu….

Vunja sheria, hata kidogo tu, wakati vyombo vya habari vipo.