Musundi JF-Expert Member Dec 21, 2016 1,584 2,602 Feb 14, 2017 #1 Naomba kujulishwa ni kipi king'amuzi bora kwa maana ya bei nafuu na malipo nafuu ya kila mwezi?
Ngwanakilala JF-Expert Member Jun 25, 2011 774 1,464 Feb 14, 2017 #4 Nataka kuhama DSTV. Nadhani Azam is the best. kuna channel unaona bure bwelele hata usipolipa bili