Nkwame Nkrumah, serikali yake ilikua ya rushwa, alitegemea jeshi la kuazima kutoka russia, pia hakua makini upande wa jeshi lake la watu wa ghana, salary kwa jeshi ilikua kidogo wakati yeye na watu wake wakifanya anasa kwa pesa ya serikali, ndo raisi ambaye ameingia kwenye historia ya kuongoza nchi nyingine tofauti na Ghana, baada ya kuondolewa madarakani 1966 alienda Gunea ya ikweta kuongoza nchi hyo kwa pamoja na raisi wa nchi hyo seke toure hadi alipofariki 1977