Muda si mrefu uliopita rais ametunuku kamisheni kwa wanajeshi zaidi ya 250 waliokuwa wanahudhuria mafunzo yao ya uafisa TMA.Kamisheni hiyo inawafanya wahitimu kuwa maofisa ktk TPDF.Baada ya kamisheni hiyo nao wamekula kiapo cha utii kwa rais na katiba ya jamhuri ya muungano nabadae rais alienda kukagua mabweni yanayotumiwa na maafisa wanafunzi ambayo kwa zaidi ya miezi mitatu yamekuwa yakifanyiwa ukarabati mkubwa.
Wakati huo huo,ktk kuthibitisha kuwa urafiki wa LOWASA NA KIKWETE SIO WA KUKUTANA BARABARANI,LOWASA ALIKUWEPO KTK SHEREHE HIZO ZILIZOFANA NA KUONEKANA WAKICHANGAMKIANA.

na wewe una yako tu. Sasa hilo ni tatizo kwako? Kikwete alikuwa jimboni kwa lowasa ulitakeje lowasa asiwepo ilihali ni kwake?
....fuatilia mambo kwa karibu.tangu kipindi cha mkapa,lowasa alikuwa mbunge na hakuwai kuhudhuria kamisheni hata moja.tangu kikwete amekuwa rais,lowasa alikosa kamisheni ya february 06 kwa sababu ya majukumu mengi aliyokuwa nayo kama pm.