Uchaguzi 2020 Ni kichwa ngumu na uzalendo tu kwa CCM: Tundu Lissu anatikisa, smart na anapendwa

Ashakum si matusi. Hivyo, lile gari letu la mkaa limeshatoka garage? Nahofia mkaa unaharibika kwa mvua hizi za vuli.
 
Heri ya mabeberu wanaleta maendeleo kuliko wakoloni weusi uleta umasikini
 
Acha ujinga wewe. Unazungusha maneno tu. Ccm haina chochote kutishika na usanii wa lissu kwani hana hoja za kushindanishwa na magufuli. Angojee tu kushindwa vibaya. Kazi itakua kwake kujieleza kwa bwana zake kwa nini kashindwa huku kala hela yao
 
Mk
Point za Lisu huwezi kuziona unajifanya Mbuni Sababu unajua utarudi kwenu kulima
Mbona mi kitambo tu nalima. Wenunaetegemea kubeba zege ndio ujiandae maana utawala wa Lisu haina ujenzi ni kula maisha tu. Ngojeni ashinde afu awaambie mshirikiane kutengeneza ajira ndio mtajuta.
 
Wewe uko simiyu kweli!! Simiyu hakuna mdudu anaitwa chadema acha kudanganya watu. Simiyu hata diwani m1 chadema hamtampata
 
Mwaka huu sikutegemea kama mnahitajim kupiga kampeni ....lakini mambo yamebadilika ...yaani wananchi wanahasira sana naona....umeona nyomi la kanda ya ziwa bila mabango wala wasanii
Wamekataliwa Hadi vijijini,
Ukisomesha watu namba jiandae kuzisoma kura zao.
Utampa vipi kura aliyekusomesha namba
 
Watu wamehamasishwa kushiriki mikutano, tatizo ni kujimilikisha wahudhuriaji, kumbe wahaudhuriaji nao wanalenga kusikia sera za washindani wawili wakubwa. Hivyo hao wengi ni bado hawaamui lolote muda huo.
Judgement zetu!
 
Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana. Genge la wahuni lenye uchu wa madaraka, halina nafasi kwenye nchi hii. Watanzania watatoa mkong'oto wa kutosha oct 28 iwe fundisho. Mwaka 2025, mtakuwa kama ADC na chauma..
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana. Genge la wahuni lenye uchu wa madaraka, halina nafasi kwenye nchi hii. Watanzania watatoa mkong'oto wa kutosha oct 28 iwe fundisho. Mwaka 2025, mtakuwa kama ADC na chauma..
Hujui siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…