Ni kiasi gani kikubwa Cha pesa ulichowahi kuokota?

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,846
12,616
Ila ckuiz kuokota mgwanja Ni ishu Sana.Watu ckuiz si rahisi watembee na liquid cash mifukoni mwao, wanatumia E- wallets kuhifadhi hela zao.

Ila miaka ya nyuma kdgo ilikuwa rahisi Sana kwa mtu kustukia kitita Cha pesa aidha kwenye barabara au vichakani.Mambo ya M- pesa tigo pesa,A.T.M na kadhalika yalikuwa bado hayajabamba Moto miongoni mwa watu wengi.

Binafsi nakumbuka mwaka wa 2008 nikiwa na miaka 12 siku Moja jioni maza alikuwa amenituma nimfuatie maziwa ya kupika chai ya jioni sokoni.Nakumbuka ile siku mvua ilikuwa imenyesha Sana kwa hiyo barabara za kwetu zilikuwa zimejaa matooe na utelezi.Sasa ile narudia zangu kutoka sokoni mida ya saa Moja hivi kagiza kameshaanza kuingia.Nikafika kwa Kona fulani ghafla nikakutana na kibeti cheusi afuk kimetuna.Nikasita kidogo nikaangalia nyuma Hakuna anayekuja nikainama nikakiokota nikatoka ndukiiii.

Nilipofika nyumbani nikaweka maziwa mezani nikawahi chumbani kwangu.Kufungua kibeti nikakuta noti za Ksh' 10,000 zilizokunjwa vizuri.Jamaa nikabaki😲😲.

Jamaa niliamua kuifanya Siri nikamumunya hiyo hela mdogo mdogo mpaka nikaimaliza.Nilitanua Sana kipindi kile,nilinunua njiwa pair 3( pair Moja KSh 200) nikafuga.Nikaenda sokoni nikanunua pamba Kali kali, Kisha nikamgawia dada sh' 1000 Kisha nikamwambia asidhubutu kumwambia yeyote kuhusu hili zali.Akauchuna🤫.
Baada ya hayo nikabaki na vichenji vidogo vya kulia mishikaki huko mitaani.Ikaisha ivo.

Kipindi hicho kuokota sh 10,000 za kikenya ilikuwa bonge la zali aisee!.Naeza sema kwamba hicho ndo kiasi kikubwa Cha pesa nilichowahi kuokota kwa wakati mmoja mpaka leo hii.

Labda siku nyingine Mungu atanidondoshea zali la laki 2😂( a very rare case)
 
Tena ananunua na Njiwa pair 3 hata hawaulizi pesa katoa wapi?
Yaani!sitaki hata kupata picha mzazi wa Tanzania akuone unaingia na njiwa zako pair tatu,hajakaa vizuri una pamba kali mpyampya!wallah hizo bakora utaimba haleluya
 
We dogo acha kutulisha matango pori yaani mtoto wa miaka 12 ukakaa na hiyo 10k ya Jomo?

Hivi ilikuwa mwaka gani tuithamanishe kwa thamani ya leo, hebu funguka kiuongo uongo
 
Ila ckuiz kuokota mgwanja Ni ishu Sana.Watu ckuiz si rahisi watembee na liquid cash mifukoni mwao, wanatumia E- wallets kuhifadhi hela zao.

Ila miaka ya nyuma kdgo ilikuwa rahisi Sana kwa mtu kustukia kitita Cha pesa aidha kwenye barabara au vichakani.Mambo ya M- pesa tigo pesa,A.T.M na kadhalika yalikuwa bado hayajabamba Moto miongoni mwa watu wengi.

Binafsi nakumbuka mwaka wa 2008 nikiwa na miaka 12 siku Moja jioni maza alikuwa amenituma nimfuatie maziwa ya kupika chai ya jioni sokoni.Nakumbuka ile siku mvua ilikuwa imenyesha Sana kwa hiyo barabara za kwetu zilikuwa zimejaa matooe na utelezi.Sasa ile narudia zangu kutoka sokoni mida ya saa Moja hivi kagiza kameshaanza kuingia.Nikafika kwa Kona fulani ghafla nikakutana na kibeti cheusi afuk kimetuna.Nikasita kidogo nikaangalia nyuma Hakuna anayekuja nikainama nikakiokota nikatoka ndukiiii.

Nilipofika nyumbani nikaweka maziwa mezani nikawahi chumbani kwangu.Kufungua kibeti nikakuta noti za Ksh' 10,000 zilizokunjwa vizuri.Jamaa nikabaki😲😲.

Jamaa niliamua kuifanya Siri nikamumunya hiyo hela mdogo mdogo mpaka nikaimaliza.Nilitanua Sana kipindi kile,nilinunua njiwa pair 3( pair Moja KSh 200) nikafuga.Nikaenda sokoni nikanunua pamba Kali kali, Kisha nikamgawia dada sh' 1000 Kisha nikamwambia asidhubutu kumwambia yeyote kuhusu hili zali.Akauchuna🤫.
Baada ya hayo nikabaki na vichenji vidogo vya kulia mishikaki huko mitaani.Ikaisha ivo.

Kipindi hicho kuokota sh 10,000 za kikenya ilikuwa bonge la zali aisee!.Naeza sema kwamba hicho ndo kiasi kikubwa Cha pesa nilichowahi kuokota kwa wakati mmoja mpaka leo hii.

Labda siku nyingine Mungu atanidondoshea zali la laki 2😂( a very rare case)
Nikiwa na miaka 9 niliokota laki moja na ishirini kwenye meza kwa mjomba, ila kipigo nilichopokea mpaka leo nikiona pesa siokoti tena
 
  • Thanks
Reactions: Gru

Similar Discussions

Back
Top Bottom