Wao wana pesa sisi tuna Mungu. Mungu siku zote yuko upande wa haki. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA. Whatever amount of money they have used, they have proved to be useless.Wana jamvi. Mwenye uwezo wa kutadhmini ni kiasi gan CCM wametumia pale Arumeru?
Mi nadhani ni zaidi ya 1b.
Amin. Ila mwigulu ataeleweka kweli? Maana nadhan huyu jamaa alikuwa anawaaminisha mabosi zake watoe mkwanja akiamini ushindi upo.Wao wana pesa sisi tuna Mungu. Mungu siku zote yuko upande wa haki. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA.