Elia JF-Expert Member Dec 30, 2009 3,425 567 Feb 10, 2011 Thread starter #41 makandokando said: madada hata wakiwa peke yao, utaona wanashare chips na soda, eti diet.....mpe ofa uone anavyoagiza kuku mzima. Click to expand... Duh, kaka mbona unaua!
makandokando said: madada hata wakiwa peke yao, utaona wanashare chips na soda, eti diet.....mpe ofa uone anavyoagiza kuku mzima. Click to expand... Duh, kaka mbona unaua!
Elia JF-Expert Member Dec 30, 2009 3,425 567 Feb 10, 2011 Thread starter #42 Babaubaya hili inawezekana lina ukweli! Halafu anapita kwa X- wake teh teh tehh!
sijuikitu JF-Expert Member Feb 8, 2011 286 12 Feb 11, 2011 #43 mi nitaanzisha biashara ya pikipiki, mdada ukija nakupa VIP service, unaenda mwenyewe mi nakaa nyuma.
mi nitaanzisha biashara ya pikipiki, mdada ukija nakupa VIP service, unaenda mwenyewe mi nakaa nyuma.
kitalolo JF-Expert Member Dec 4, 2006 1,827 708 Feb 11, 2011 #44 Ambassador said: Wanapata kaupepo fulani natural kule mahala. Click to expand... unataka kusema rejeta huwa zinachemsha
Ambassador said: Wanapata kaupepo fulani natural kule mahala. Click to expand... unataka kusema rejeta huwa zinachemsha
kitalolo JF-Expert Member Dec 4, 2006 1,827 708 Feb 11, 2011 #45 Elia said: Ha ha haaa , Hii kali utapata ajali. Click to expand... si ndio maana zinaongoza kwa ajali we unafikiri ni nini kinasababisha halafu na nyie wanaume mnaopanda pikipiki unakuta umemshika mwanaume mwzio kiuno mnasababisha ajali eti
Elia said: Ha ha haaa , Hii kali utapata ajali. Click to expand... si ndio maana zinaongoza kwa ajali we unafikiri ni nini kinasababisha halafu na nyie wanaume mnaopanda pikipiki unakuta umemshika mwanaume mwzio kiuno mnasababisha ajali eti
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,068 Feb 11, 2011 #46 Sa akipanda taxi viwalo vyake utavionaje? Akipanda tax ujue amerudia kuvaa nguo ya jana.
Rose1980 JF-Expert Member May 10, 2010 5,684 1,302 Feb 11, 2011 #47 Elia said: Kupakizwa mkuu, hawaendeshi. Click to expand... KUPAKIWA BABU RAHA na dereva mbele awe anatema kikwapa weeeeee raha nakwambia utaweka pua pemben mpk ukome
Elia said: Kupakizwa mkuu, hawaendeshi. Click to expand... KUPAKIWA BABU RAHA na dereva mbele awe anatema kikwapa weeeeee raha nakwambia utaweka pua pemben mpk ukome
Babu Lao JF-Expert Member Nov 2, 2010 2,043 179 Feb 11, 2011 #48 Nazjaz said: Hizi style mpya nahisi, si unajua vipya vinavyokuwa vitamu mpaka basi. Click to expand... Kumbe vipya ni vitamu, mimi nilifikiri vinavutia tu kumbe ukiviopnja ni vitamu!!!:coffee:
Nazjaz said: Hizi style mpya nahisi, si unajua vipya vinavyokuwa vitamu mpaka basi. Click to expand... Kumbe vipya ni vitamu, mimi nilifikiri vinavutia tu kumbe ukiviopnja ni vitamu!!!:coffee:
Mamushka JF-Expert Member Feb 17, 2010 1,595 99 Feb 11, 2011 #49 Rose1980 said: KUPAKIWA BABU RAHA na dereva mbele awe anatema kikwapa weeeeee raha nakwambia utaweka pua pemben mpk ukome Click to expand... Hahaaaaa jamani mbavu hizi eti, oohoo.
Rose1980 said: KUPAKIWA BABU RAHA na dereva mbele awe anatema kikwapa weeeeee raha nakwambia utaweka pua pemben mpk ukome Click to expand... Hahaaaaa jamani mbavu hizi eti, oohoo.
Mwelewa JF-Expert Member Jan 5, 2011 2,343 3,280 Feb 11, 2011 #50 Husninyo said: Kupanda pikipiki Raha bwana hasa dereva akiwa anakurusha rusha. Click to expand... Mmh,, kwa hiyo ikipita kwenye mashimo ndio mwapata uroda zaidi!
Husninyo said: Kupanda pikipiki Raha bwana hasa dereva akiwa anakurusha rusha. Click to expand... Mmh,, kwa hiyo ikipita kwenye mashimo ndio mwapata uroda zaidi!