Mimi fundi solar ila napatashida kujua ni solar ipi inafaa kwenye kazi furani,na betri yake na c/control,pia napenda kuja kampuni ni ipi nzuri hasa solar
Mimi fundi solar ila napatashida kujua ni solar ipi inafaa kwenye kazi furani,na betri yake na c/control,pia napenda kuja kampuni ni ipi nzuri hasa solar
KAMPUNI NZURI NI TELEFUNKEN ya Ujerumani NA GLENERGY ya Canada. Wana maofisi hapa Tz na product zao ni bomba. angalia website zao lakini kwa Glenergy piga +255754759981 na website http://www.glenergy.ca/
Hao wengine wanauza product za makampuni mbalimbali.
Hacha ujanja mkuu we sio fundi. Kama unataka kujua iyo kitu kwanza ujue maitaji ya huyo mteja wako .yaani taa ngapi ? Tv.friji na kazarika weka maitaji yako hapa nikushauri .vifaa vya kununua na umeme unaoitaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.