M mashishanga JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 611 Reaction score 429 Sep 21, 2016 #41 Naomba kuuliza tcu wametoa tarehe yakuripot vyuo kwa wale wanaoingia mwaka wa kwanza degree
S Slavins Senior Member Joined Aug 18, 2016 Posts 101 Reaction score 36 Sep 21, 2016 Thread starter #42 mashishanga said: Naomba kuuliza tcu wametoa tarehe yakuripot vyuo kwa wale wanaoingia mwaka wa kwanza degree Click to expand... tarehe za kufungua vyuo haitoi tcu zinatoa vyuo husika wewe tembelea tovuti ya chuo ulichopangiwa kujua siku ya kufungua au subiri tcu watoe selection
mashishanga said: Naomba kuuliza tcu wametoa tarehe yakuripot vyuo kwa wale wanaoingia mwaka wa kwanza degree Click to expand... tarehe za kufungua vyuo haitoi tcu zinatoa vyuo husika wewe tembelea tovuti ya chuo ulichopangiwa kujua siku ya kufungua au subiri tcu watoe selection
M mjuniour Senior Member Joined Sep 22, 2015 Posts 130 Reaction score 37 Sep 21, 2016 #43 mashishanga said: Naomba kuuliza tcu wametoa tarehe yakuripot vyuo kwa wale wanaoingia mwaka wa kwanza degree Click to expand... tcu awatoi tarehe ya kuripoti bali ni chuo usika utoa iyo taarifa
mashishanga said: Naomba kuuliza tcu wametoa tarehe yakuripot vyuo kwa wale wanaoingia mwaka wa kwanza degree Click to expand... tcu awatoi tarehe ya kuripoti bali ni chuo usika utoa iyo taarifa
M mashishanga JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 611 Reaction score 429 Sep 21, 2016 #44 MI nimedaka Za kwenye corido kua vyuo vyote vinafunguliwa tarehe 15 mwez wa kumi, nikajiulixa wengine hawajapata majibu ya vyuo inakuweje,
MI nimedaka Za kwenye corido kua vyuo vyote vinafunguliwa tarehe 15 mwez wa kumi, nikajiulixa wengine hawajapata majibu ya vyuo inakuweje,