Ni ya kweli hayo mkuuWakuu naona diploma holders selection tayari hebu chungulien profile zenu...
Wakuu naona diploma holders selection tayari hebu chungulien profile zenu...
ingia kwenye profile yako uhakikishe mkuu
WEKA PICHA TUHAKIKISHE.
ingia kwenye profile yako uhakikishe mkuu
Wewe umechaguliwa?Wakuu naona diploma holders selection tayari hebu chungulien profile zenu...
Mkuu ondoa shaka nahisi bado hawajamaliza selection maana karibia watu 20 niliowauliza profile zao zipoje zinaonyesha kama zako na yangu ikiwemo. Hata mim nilivyoona hilo neno "wait for next selection" nilijua wamenishaniacha ila walau kidogo napata matumain kuona weng wameandikiwa hivyo, tusubir tuone kiongozNi kweli mimi wameniandikia ni wait for next selection ,naisi wameshaniacha pamoja na kuwahi kwangu ku apply tangu kipindi kile
Sidhani Kama kuna aliyechaguliwaNa mimi n wait for next selectn ila jaman kuna aliyechaguliwaaa maana huku ni kijasho
Wote tumeandikiwa wait for next selection ila profile zetu zina tofauti pia , kuna wengine pale chini kuna "go to profile, log out na view choosen programs" lakina kuna wengine pale chini kuna 'go to profile na log out, hakuna option ya view choosen programs' sasa hapo ndipo wanapozidi kutuchanganya...Sidhani Kama kuna aliyechaguliwa