kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Hayo ni majimbi, kwetu huchemshwa na maji kiasi bila kusahau dawa ya jiko na hufunikwa na jani la mgomba, baada ya dk 15 pakuwa, chai ni muhimu katika mchakato, karibu kwa mesa.
mi navojua usiga ni ugali, sasa utakulaje ugali kwa magimbi? kwahiyo magimbi hapo ndo mboga au ugali ndo kinywaji?wagosi wanakula na usiga
Usangi moja
mi navojua usiga ni ugali, sasa utakulaje ugali kwa magimbi? kwahiyo magimbi hapo ndo mboga au ugali ndo kinywaji?
mi navojua usiga ni ugali, sasa utakulaje ugali kwa magimbi? kwahiyo magimbi hapo ndo mboga au ugali ndo kinywaji?
magimbi huwa siyapendi
Duuh pole sana,hujakutana na mtu anayejua kuyatengeneza aise
View attachment 162605na kwa wale wanaojuwa watutajie hiki chakula kinaitwa je kiswahili au kikwenu?
Poa njoo kesho.labda ukitengeneza wewe naweza kushawishika kula
Warugulu wanayaita Mahimbi.
Upate na chai ya mchaichai hapo!