Ni jf member, kisia ni nani?

miss neddy, ndio mimi mtoto wa mama kwa sana tu. Mama yangu alikuwa hataki hata kuona nachafuka na mavumbi hivyo. Kwenda polini kuwinda tena bila shati, no way mama asingeruhusu hiyo kitu, UPO HAPO?

haha basi sawa ila ukakamvu upo ndani yako kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…