Ni jf member, kisia ni nani?

born 2 be a hunter..., hakuna mJF kamanda wa hivyo, wote watoto wa mama tu.
 
unataka kusema hadi wewe ni mtoto wa mama
miss neddy, ndio mimi mtoto wa mama kwa sana tu. Mama yangu alikuwa hataki hata kuona nachafuka na mavumbi hivyo. Kwenda polini kuwinda tena bila shati, no way mama asingeruhusu hiyo kitu, UPO HAPO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…