Ni jambo gani humpelekea mtu kupiga punyeto?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,439
2,918
1. Kuona Uzito katika kutongoza / kutongozwa
2. Kukataliwa
3. Gharama ni kubwa kwa wanawake?
4. Kujaribu na kutaka kujua ladha ya punyeto na hatimae kuzoea
5. Ni fashen tu
6. Kuumizwa na kusalitiwa na wapenzi na hatimae kutumia njia rahisi?
7. Kuogopa maradhi?

AU NI NINI HASA CHANZO KIKUBWA CHA KUPIGA PUNYETO?
 

Attachments

  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    11.7 KB · Views: 60
kukosa kazi ya kufanya na kuwa na mda mwingi wa kuangalia ngono kwenye majarida, mitandaoni au kwenye TV.
 
Nyegezi! Pia kumbuka kuna raha tofauti kati ya k ya mwanamke na puli.ndio maana hii kitu haina guarantee ya kuacha na ni ngumu kuacha kabisa!
Kuna MTU mmoja aliwahi kusema kuwa puli ni kama unajipimia yatosha bundle; akimaanisha unabalance kila kitu kutokana na stimulation, mfano speed,utelezi,mbano(diameter) ya k bandia(kiganja) bila kusahau mapigo
Ndio maana kuacha punyeto ni kwa stage huwezi acha abruptly. Mazoezi ,ubize na kazi huchangia kupunguza rate ya upigaji puli pia hii hata kupunguza kuwaza ngono pia!
Ila asikuganganye MTU nature ya mwanaume anapopatwa na hamu ya kusex Mara nyingi anahitaji spate Huduma instantly! Akitikea akakosa kwa wakati ndio hiki kitu hutokea kwa wale wasio wavumilivu.so musishangae kuona MTU mwenye mke na bado anapiga puli siku moja moja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanaume ni Kutokuwa na pesa, ila kwa wadada ni kubanwa sana anapoishi hivyo kukoswa mda wa kugegedwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah! Hii pia ni sababu inaweza kuwa pesa ya kumuhudumia mwanamke na mahitaji yake pia pesa ya kuspend yeye na mwanamke wake labda ya Lodge na accommodations nyingine ,so suruhisho la haraka anaweza kuona ni punyeto ili kupunguza hamu na pressure ya nyegezi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom