babuumzuri
Member
- Sep 18, 2020
- 14
- 7
Naomba kujua, kuna utofauti gani kati ya course ya IT na ICT?
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.
Thanks Sana mkuuKitu ni kile kile, hakuna tofauti, ni mbwembwe tu za maneno katika kuframe kozi kwa chuo husika.