Ni ipi style yako ya kusheherekea mkesha wa mwaka mpya?

frakitosho

JF-Expert Member
Dec 13, 2012
802
255
Sisi huku kwetu huwa tunapiga madebe mpaka kunakucha. Wengine hurusha baruti na kuchoma matairi barabarani. Wengine hukesha bar n.k. Wewe je?
 
mwaka mpya wangu ni siku ya kuzaliwa.

badala ya kusherehekea nimepanga kuwaona watu wenye umaskini uliopitiliza na kutoa shukrani zangu kwa Mungu. Bado siku chache sana.
 
Mimi leo kwa mara ya kwanza nahudhuria ibada ya mwaka mpya! hapa kimara korogwe! miaka yote Mwaka mpya unanikutaga mesi na bia za buku jelo!
 
Back
Top Bottom