Kwangu mimi EPL ni ligi bora kabisa tangu ligi ya Italy ilivyo poteza mwamba wake miaka ya mwishoni mwa tisini. Kinacho nifurahisha pale timu zisizopewa nafasi ya kushinda zinapo pindua meza kibabe.
Ladha nyingine ni nguvu na kasi inayotumika na timu nyingi kucheza direct football. Vilevile Marefalii wanaitofautisha Ligi ya EPL na nyingine za Ulaya kwa kuruhusu ubabe/Nguvu kutumika bila kupigapiga hovyo filimbi. Ndio maana wachezaji lain lain hawezi kukipiga EPL watakimbilia Spain, German,au Itali.
Kama unafikiri EPL uborawake ni matangazo pekeyake basi izo liginyingine zijitahidi kutangaza ili ziwe na mashabiki wengi kama Epl.EPL ni ligi inayotangazwa sana haswa kwenye makoloni yaliyokuwa ya Mwingereza hata ukienda America kusini Laliga ndo inaongozwa kuangaliwa. Katika ubora Laliga kuna Moira mzuri kuliko EPL sema EPL kuna kelele nyingi za mashabiki viwanjani
Kwangu mimi EPL ni ligi bora kabisa tangu ligi ya Italy ilivyo poteza umwamba wake miaka ya mwishoni mwa tisini. Kinacho nifurahisha pale timu zisizopewa nafasi ya kushinda zinapo pindua meza kibabe.
Ladha nyingine ni nguvu na kasi inayotumika na timu nyingi kucheza direct football. Vilevile Marefalii wanaitofautisha Ligi ya EPL na nyingine za Ulaya kwa kuruhusu ubabe/Nguvu kutumika bila kupigapiga hovyo filimbi. Ndio maana wachezaji lain lain hawezi kukipiga EPL watakimbilia Spain, German,au Itali.
Kama unafikiri EPL uborawake ni matangazo pekeyake basi izo liginyingine zijitahidi kutangaza ili ziwe na mashabiki wengi kama Epl.
Mimi si mshabiki wa mpira, lakini mpira ni kushinda. Hivyo kama uchambuzi wako ni sawa basi La Liga ni bora zaidi. Hayo mengine ni hisia zinazoletwa zaidi na historia. Uzuri wa mpira haujalishi lugha inayotumiwa na sheria ni zile zile na goli ni goli. Isiwe kama wale waliosema "ingawa wametufunga lakini chenga twawala". Unakuwa mzuri zaidi ukiwala chenga na kuwafunga.Kama ni bora walishindwa nini kuchukua uefa na europa cups miaka yote!! Ukiangalia by records spain ndie wanaongoza wana 18 wakati Uingereza wana 13...ukija europa league the competition has been won 11 times by teams from Spain, more than any other country...
Ebu tuambie ubora wake ni upi??
Labda China. Japan inakuwa usiku sana au asubuhiEPL inaangaliwa sana South East Asia (China, Japan, S.Korea India kidogo, Indonesia, Malaysia nk) middle East wanaangalia zaidi Laliga, S. America Laliga imetawala N.America 50/50, Africa inategemea na nchi uliyopo (Hapa Vijana wa Tz wataonekana wanaangalia sana EPL)
Ushindani wa vibonde. Wakienda kwenye mashindano ya UEFA wanaumbuka.EPL ni Ligi bora duniani. Huku ndiyo kuna ushindani
..maana yake hata Seria A ni bora zaidi kuliko EPL maana Cr7 ana wastani mdogo sana wa Magoli kuliko ilivyokuwa EPL.Kila nikifuatilia rekodi ya Cr7 ya mabao kipindi uko Epl na La Liga nakuwa sina budi kukubali ligi ya Epl ni bora.
Wanaumbuka vipi? Fainal ya msimu jana wa mashindano ya UEFA na EUROPE timu zote EPL?Ushindani wa vibonde. Wakienda kwenye mashindano ya UEFA wanaumbuka.