Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,641
- 698,058
Nadhani nchi ndogondogo zilizojiunga hivi laribuni ndio tatizo zaidi ya hangover ya ujamaa wetuTanzania ndo kikwazo cha huo umoja, Sababu 90% ya raia wake wana hangover ya ujamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app