Yeah, kifo ni kipomo cha utu.Mtu aliyekufa yuko salama zaidi kuliko wewe unayetangatanga duniani.
Duniani siyo kwako, ukiweza ondoka mapema.
secretarybird
Mkuu nani kasepa tena huko?Habari wakuu
Nimejaribu kupitia nyuzi za waliomba msaada wa njia nzuri za kujiua wameandikiwa R.I.P kwenye profile zao. Hii inamaanisha wapendwa wetu walikua na Nia ya kweli ya kujiua.
Muhimu: Tusiweke mawazo yasiyofaa au ya kubeza tukiona hizi nyuzi, wenzetu wanahitaji faraja na mawazo badilisho ili waache mawazo ya kujiua.
Fact and not an opinion.Kifo kinatisha sana, cha kusikitisha zaidi ni kwamba hakuna njia ya kukwepa! hata wewe mleta mada unaweza jikuta umerest in peace na ukaandikiwa RIP wakati wowote.
Hayo ndiyo maneno.Heri waliokufa kuliko walio hai... Waliokufa wamevuka stage ambayo lazima na wewe uivuke, hivyo wako mbele ya wakati x😊
Mimi marehemu Foe ndiye mapka leo ananisikitisha sana. Hakujiua ila aliweka thread akieleza ameambiwa ana miezi 3 ya kuishi yuko stage ya mwisho ya cancer. akasema amepita karibu na makaburi akawaza naye ndani ya muda mfupi atakuwa hapo na upweke.Habari wakuu
Nimejaribu kupitia nyuzi za waliomba msaada wa njia nzuri za kujiua wameandikiwa R.I.P kwenye profile zao. Hii inamaanisha wapendwa wetu walikua na Nia ya kweli ya kujiua.
Muhimu: Tusiweke mawazo yasiyofaa au ya kubeza tukiona hizi nyuzi, wenzetu wanahitaji faraja na mawazo badilisho ili waache mawazo ya kujiua.
sisi ni mavumbi aka udongo, ni source nzuri ya rutuba na mafuta ghafiYeah, kifo ni kipomo cha utu.
Upo ili ufe/you are there so as to die.
Monetary doctor Al-mukheef Poor Brain mzabzab Nomadix.
Mtangazaji gani? Hebu weka mambo bayana bhana!Mimi marehemu Foe ndiye mapka leo ananisikitisha sana. Hakujiua ila aliweka thread akieleza ameambiwa ana miezi 3 ya kuishi yuko stage ya mwisho ya cancer. akasema amepita karibu na makaburi akawaza naye ndani ya muda mfupi atakuwa hapo na upweke.
Kuna watu wakaanza mbeza kuwa anatafuta attention weengine wakampa pole. mwisho kumbe kweli jamaa alikuwa mdogo wake mtangazaji fulani wa clouds na alifariki akiwa early thirties.
Unaweza kuleta badiliko kwa mchango wako chanya, sio lazima uwepo physically. Wengi wakija tunawabeza, kuwatweza na kudhihaki.Mh!, ni sehemu ya jf kufanya hivyo ikipata taarifa kuwa member fulani alishasepa mbele ya haki basi wanaweka hivyo, ili watumiaji wengine wajue maana bila hivyo unaweza mtext huyo member pm na ukitarajia akujibu kumbe yupo kwenye ukimya wa milele!.
Swala la mtu kutangaza kujiua na swala lakuwekewa hiyo alama nafikiri ni vitu viwili tofauti, maana wengine wakitangaza kujiua wanafanya kweli na ni ngumu kumuwahi, just imagine mtu aanzishe uzi hapa hajasema yupo wapi na wewe je huo muda umejipanga umfikie..?
kwanza mtu akidhamiria kujiua kwa dhati akijitahidi sana ni kutoa taarifa tu na si location..!
Mtu akitoa location basi mjue huyo yupo anadunda bado...🤣
💯% correct.sisi ni mavumbi aka udongo, ni source nzuri ya rutuba na mafuta ghafi
🙂
We jamaa Una ujinga mwingine Sana😂Mtu aliyekufa yuko salama zaidi kuliko wewe unayetangatanga duniani.
Duniani siyo kwako, ukiweza ondoka mapema.
secretarybird
Mtangazaji gani? Hebu weka mambo bayana bhana!
Duh! Inaliza na kusagisha meno.Thread yake ni hiyoNimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA Habari za muda huu kwa mara nyingine tena Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu...www.jamiiforums.com