Ni hospital zipi ni sahihi kutibiwa?

Ni hospital zipi ni sahihi kutibiwa?

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
422
Reaction score
2,008
Nauliza kwa Hali halisi ya hospital zetu na madaktari wa kitanzania ukiumwa au ukiwa na mgonjwa uende Private hospital au serikalini?

Serikalini wanasifika kwa hufuma mbovu na private kuna huduma nzuri lakini unaweza ukawa huna gonjwa wakakubambikia gonjwa ili tu wapate fedha so kipi ni kipi hapa
 
Ubora wa huduma haupatikani kwa kuwa ni Private au Serikalini au ukubwa wa taasisi husika, bali ni katika uelewa wa mhudumu wa afya alionao na anavyoutumia pia kuzingatia misingi ya kazi yake.
 
Nauliza kwa Hali halisi ya hospital zetu na madaktari wa kitanzania ukiumwa au ukiwa na mgonjwa uende Private hospital au serikalini?

Serikalini wanasifika kwa hufuma mbovu na private kuna huduma nzuri lakini unaweza ukawa huna gonjwa wakakubambikia gonjwa ili tu wapate fedha so kipi ni kipi hapa
Usikariri ya kuambiwa

Uje hizo hosp za binafsi wanafanya kazi wengi wanatoka serikalini .

Harafu unaanza shorubu kupaka matope hospital za serikali

Wewe nenda katibiwe sehemu utakayojisikia salama Kwa psychology yako
 
Back
Top Bottom