Ni hisia zangu au kuna ukweli?

Ni hisia zangu au kuna ukweli?

Inategemea hao unaofahamiana nao umewafahamuje na umewafahamu lini. Kwangu mimi ni vice versa, nina marafiki wachache sana ambao wengi wapo dar. They are people i can tell from my heart are trustworth. Simply because we share some years together at school or somewhere.

I hardly make friends especially to strangers, i have some limitations to whom should be my friend or viceversa.

Kwahyo mtoa mada usiwe judgemental sana, angalia hao unaowaita sio waaminifu, jiulize umewafahamuje? Mmefahamiana lini? Katika mazingira gani?.
 
Matapeli Dar wengi mno na wanapenda kuishi kiujanjaujanja tu na hawaoni shida kumdhulumu hata rafiki wa karibu tena wa miaka mingi.

Mwaka 2013 nilipata fursa ya kushiriki kwenye mradi ulionisaidia kuitembelea Tanzania kwa 80%. Katika mradi huu nilifanikiwa kujiongezea marafiki wengi karibu kila pembe ya nchi. Kinachoendelea kunishangaza ni kuona marafiki wengi niliovuna maeneo mengi ya pembezoni na hasa "bara" wamekuwa ni waaminifu na wakweli kweli kweli.

Tunashirikishana kwa wengi kijamii na kiuchumi. Wengine sijabahatika kuonana nao tena lakini kwa njia ya mawasiriano tumekuwa wamoja na kwa hakika tumeweza ku"share value zetu " na kusonga kwa kila mmoja kufikia malengo.
Tatizo limekuwa kwa wale niofahamiana nao Dar, sio wote lakini wengi wao wanaonekana si watu wenye utu.

Ubabaishaji umewajaa na kujikweza kwingi. Wanaishi kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia. Nimekaa nikajiuliza hivi kumbe ukiishi Dar jiji linakubadili kutoka mtu mwenye utu na kuwa mtu mwenye kupenda kidogo kitu zaidi ya utu. Pengine wana jamvi hebu semeni neno katika hili.

Ni hisia zangu au lina ukweli
 
mwaka 2013 nilipata fursa ya kushiriki kwenye mradi ulionisaidia kuitembelea tanzania kwa 80%. Katika mradi huu nilifanikiwa kujiongezea marafiki wengi karibu kila pembe ya nchi. Kinachoendelea kunishangaza ni kuona marafiki wengi niliovuna maeneo mengi ya pembezoni na hasa "bara" wamekuwa ni waaminifu na wakweli kweli kweli.

Tunashirikishana kwa wengi kijamii na kiuchumi. Wengine sijabahatika kuonana nao tena lakini kwa njia ya mawasiriano tumekuwa wamoja na kwa hakika tumeweza ku"share value zetu " na kusonga kwa kila mmoja kufikia malengo.
Tatizo limekuwa kwa wale niofahamiana nao dar, sio wote lakini wengi wao wanaonekana si watu wenye utu.

Ubabaishaji umewajaa na kujikweza kwingi. Wanaishi kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia. Nimekaa nikajiuliza hivi kumbe ukiishi dar jiji linakubadili kutoka mtu mwenye utu na kuwa mtu mwenye kupenda kidogo kitu zaidi ya utu. Pengine wana jamvi hebu semeni neno katika hili.

Ni hisia zangu au lina ukweli

ukweli 1000%
 
Huyo anaesema kigoma wanaupendo labda ana maanisha kigoma mjini maeneo ya ujiji etc ila jana yalinikuta ya kunikuta nilishuka toka kwenye basi kituo kinaitwa njia panda, njia panda nilikua naelekea kasulu, kulikua na muonekano mzuri nikasema ngoja nipige picha na smartphone kuiridisha nimefika sehemu yanapo paki mabasi ya kasulu kuweka mfukoni mkono hela sizioni aisee, nikaona bora nirudi pale pale noliposhukia nikaziona aisee mfukoni humo humo niliapa sitakaa nishuke kile kituo tena,
 
Dar es salaam kila mtu ni dalali.....haijalishi awe ni muajiriwa wa mahali Fulani au ni vipi...lakini udalali upo kwenye damu zao....na ukiwa dalali huwezi kuuweka uongo pembeni......Dar es salaam watu wenye kazi wanaishi maisha magumu lakini wasiokuwa na kazi ndio wanaishi mazuri na ya kifahari........Maajabu ya Dar es salaam ni kuwa unaweza kumkuta mtu kapiga pamba za bei mbaya lakini usishangae akikwambia kuwa ana siku mbili hajala kitu......Dar es salaam kila mtu msomi.....


mkuu mbavu zangu suti but hajala cku 3 hilo naliafiki dar hapana, huwa mi naendaga dar kutoa stress tu maana kila mtu ana degree, fulu comedi aisee huwa nachekaga sana
 
Kama usipokuwa strong "City vibes" zinaweza kukuchukua
Kila mmoja anajaribu ku "fit in"
Wengi wanajaribu 'kufanikiwa' na maisha ni ya kasi sana. Kunakuwa na nafasi ndogo mno ya kufikiri. It's a fast life.
Matokeo ni wachache mno wanaweza kubakia centered

Elizabeth Dominic let me remember this name
 
Back
Top Bottom