Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
NAPASHWA KUAPISHWA KUWA RAIS.
Kitendo cha System Ku organize nchi nzima kila mwaka kunifanyia unyama na udhalilishaji huku wakitumia Mawazo yangu na kujifanya kama hawanijui. Pia kuandaa watu mbalimbali wa kuniigiza kila jambo. Hii ni ishara tosha kuwa " Mimi ndio Mkombozi wa Taifa kwa kila kitu" Japo mnatishia eti nikiinuka mtanikata mapanga kama Alfonsi. Mimi sio fala.
Ni kheri Katiba ikabadilishwa ili niingie Magogoni nifanye kazi ya Ukweli.
Na ndio maana mnaniharibia kila jambo nalofanya kisa wivu. Niapisheni muone kazi na sio maigizo yenu.
Deogratius Kiaandu.