themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
TrueMzee baba unamuonea soni msh'kajii,.damu yako??huyo kwanza unamchana laiv bila chenga,.yaani unampa black & white,. Kama haeleweki muhame unaleaje uozo??ushajua tabia zake na zinakunyima raha then unamtazama,.mchane buana kama hawezi kuhama ww muachie chumba sepa,.
Maisha mafupi haya kusumbuana-sumbuana,.
Nishamkanya sana lakini asikiimwambie aacha hiyo tabia,wanawake hawez kuwamaliza,tabia chafu na mbaya,nilikuwa nayo na mm ila nilishaacha,
Anakitia kitanda chako nuksi na maroho machafu ambayo ww ukilala yatakuingia. Kitanda chako si uwanja wa unzinzi.Nimeona niiweke hii mada sababu nimekuwa nikiishi na rafiki yangu mmoja nimetoka nae sekondary baada ya kumaliza chuo tukapanga chumba kimoja na kila mtu akapata kazi, sasa baada ya mda jamaa akampata mwanamke wake akaenda kupanga nae chumba wakawa wanaishi wote yeye na dem wake
So kila mtu akawa na maisha yake, mimi nikaendelea kukaa kwenye kile chumba, sasa jamaa ikafika mda akaharibu kwa mpenzi wake sababu ya umalaya hivyo akamkimbia kwa kisingizio cha kukaa karibu na kazini ili asipate tabu ya usafiri, jamaa akarudi hapa geto ni mwaka sasa hachangii kodi na kazi anafanya, akipata hela ni bata, uamalaya na kumuangalia mwanamke wake tu, huku kodi ya chumba hapa nikipigika mwenyewe
Mara nyingine huwa anafungua begi langu anafika hadi sehem nmayoweka akiba yangu na kuchukua pesa zangu bila kuniomba kwa madai kuwa benki mbali, hadi naona hali ya hatari mbeleni maana sim banking ipo, na ukimwambia ukweli anakuwa mkali
Sasa kinachonikera zaidi bado hata hichi chumba nilichomuhifadhi analeta malaya kila kukicha hadi nakereka, na kumfukuza nashindwa sababu nimetoka nae mbali
Ushauri wenu jinsi ya kumkimbia kistaharabu...
Sawa mkuuUnaweza kufa mapema kwa strees za maisha, ww mwambie liwalo na liwe! Mwaga ugali yy atamwaga mboga!
KweliUnaweza kufa mapema kwa strees za maisha, ww mwambie liwalo na liwe! Mwaga ugali yy atamwaga mboga!
Mimi nawaambia Tanzania tuna matatizo makubwa mno kuliko tunavyofikiri. Huyu hapa anakwambia ni mtu aliyesoma mpaka sekondari halafu akaenda chuo! Na bado anakuja kuuliza asaidiwe kutatua ''tatizo'' kama hili! Hizi akili ndito zitaleta mabadiliko katika nchi yetu?Nimeona niiweke hii mada sababu nimekuwa nikiishi na rafiki yangu mmoja nimetoka nae sekondary baada ya kumaliza chuo tukapanga chumba kimoja na kila mtu akapata kazi, sasa baada ya mda jamaa akampata mwanamke wake akaenda kupanga nae chumba wakawa wanaishi wote yeye na dem wake
So kila mtu akawa na maisha yake, mimi nikaendelea kukaa kwenye kile chumba, sasa jamaa ikafika mda akaharibu kwa mpenzi wake sababu ya umalaya hivyo akamkimbia kwa kisingizio cha kukaa karibu na kazini ili asipate tabu ya usafiri, jamaa akarudi hapa geto ni mwaka sasa hachangii kodi na kazi anafanya, akipata hela ni bata, uamalaya na kumuangalia mwanamke wake tu, huku kodi ya chumba hapa nikipigika mwenyewe
Mara nyingine huwa anafungua begi langu anafika hadi sehem nmayoweka akiba yangu na kuchukua pesa zangu bila kuniomba kwa madai kuwa benki mbali, hadi naona hali ya hatari mbeleni maana sim banking ipo, na ukimwambia ukweli anakuwa mkali
Sasa kinachonikera zaidi bado hata hichi chumba nilichomuhifadhi analeta malaya kila kukicha hadi nakereka, na kumfukuza nashindwa sababu nimetoka nae mbali
Ushauri wenu jinsi ya kumkimbia kistaharabu...
Asante nao ni ushauriMimi nawaambia Tanzania tuna matatizo makubwa mno kuliko tunavyofikiri. Huyu hapa anakwambia ni mtu aliyesoma mpaka sekondari halafu akaenda chuo! Na bado anakuja kuuliza asaidiwe kutatua ''tatizo'' kama hili! Hizi akili ndito zitaleta mabadiliko katika nchi yetu?