TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
Hii inanikumbusha maneno Livingstone Lusinde (Kibajaj) aliyosema bungeni (katika hali ya ucheshi) kwamba watu wanaojisaidia porini hawatumii akili kwa sababu wanaelekeza uso barabarani na makalio yao porini ambako kuna wanyama wakali.Tusihojiane zaid