Ni hatari kwa ustawi wa Nchi yetu kama kuna watu bado wanaendelea na upigaji Ndalichako hebu lianagalie hili

wanajamvi habari za asubui.In short nimechaguliwa chuo cha Ualimu Korogwe.Hivyo kieipori na kujionea madudu yanayofanyika ni Mengi mno Mpaka kero nasijajua kwanini serikali inalifumbia macho swala hili.Changamoto zenyewe ni hizi hapa .
1.Kukosekana kwa viti vya mwaka kwanza na hivyo kusababisha wanafunzi kusimama wakati wakusoma.

2.Kukosekana na kwa viti kwenye bwalo la kulia chakula hivyo kusababisha wanachuo kula chakula.Ikizingatiwa sasa hv mvua zinanyesha jiandaeni kwa magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu nazani haviepukiki.Msubilie kipindu pindu kitokeee mje mtoe matamko.

4.kutozwa pesa ya chai kila mwanafunzi kiasi cha sh 40000 kwa ajili ya waalim na staf kwa ujumla halafu nilazima kulipa usipolipa unarudishwa nyumbani .fedha hiyo imepewa jina maarufu kama posho ya vibarua
5.Halafu wanachuo leo tumeambiwa kulima mazao ( Mahindi) na mkufunzi wa miradi.

5.Kuna jamaaa mmoja anajiita mwadili yeye ndio amekuwa source ya matatizo hataki wanachuo waulize maswali amekuwa anatoa vitisho vya kufa mtu.

6.Tunaomba tuletewe mkuu wa chuo kwani aliopo inawezekana hakawa haendani n kasi ya mhe: Rais ya hapa kazi tuuu. yeye amekaa kiupigaji tuu.naikumbukwe aliopo ni makamu baada ya mkuu wa chuo kufariki mwaka jana.

7.Mkuu wa chuo akishirikiana na viongozi wa chuo ambao sio waaminifu ameanzisha mradi wa kwake binafsi kwenye maeneo ya chuo .Mradi huo ni DSTV Ambayo inatozwa na sh 300 kwa kila mechi kwa mwanafunzi na ikumbukwe pia kila mwanafunzi analipa sh 10000 kwa michezo lakin bado akifika atatakiwa kulipa sh 300 kuona hotuba za rais.
8.Chuo hakina hospitali lakini kuna hela kwa ajili ya huduma ya kwanza yaaani sh 10000. ila kuna kajumba kadogo ukienda unaumwa kazi ya nurse ni kukubashiria unaumwa nini na kisha kukupa dawa za ubashiri wake.
9Pia kuna bima ya afya ambayo kila mwanafunzi amelipia sh 10000.Kwa uzoefu wangu hizi bima huwa zinajumisha watu wa5 kwa sh 10000. kwa tafsiri ya kwamba kila mwanafunzi atachajiwa sh 2000. Lakini huyu makamu yeye ameamua kutoza 10000.kwa heshima na taaadhima tunaomba serikali iingilie kati kukomesha wizi huu.
10.Ifahamike kwamba hakuna mwanafunzi ambae ataishi hapa chuo milele lakini usalama maradhi chakula ni vitu vya muhimi kuvizungumzia.Ugali unaopikwa ni uji hauendani na hadhi ya chuo. huwezi kula kwa mkono lazima ulie kijiko sasa sijajua tatizo nini?Mkufunzi wa chakula hataki kuulizwa na amekuwa akishirikiana na makamu mkuu kuiba na kutaifisha vitu vya chuo.
sipendagi wizi wizi ujanja ujanja watu kwann hawaridhiki na mishahara yao
 
Poleni,pigen shule maana hapo wakja utackia mbon cc tulsoma hvyo hvyo
 
Hii habari ungewapa wakina Malisa GJ yule katibu wa Kizazi cha Kuhoji,ndiyo hii habari ingehit zaid.

Ila hongera,na nadhani wanaohusika watalishughulikia Mwigulu Nchemba
 
Kukosekana viti kwenye bwalo la chakula kunasababisha kipindupindu?
 
Kulima shamba la mahindi la chuo ni tatizo nalo? Inawezekana unahoja lakini baadhi ya vitu anavyoandika vinaweza kusababisha mtu akawa na mashaka na madai yako akakupuuza.
 
Tangu ndalichako acheze bao la mkono pale kinondoni simuamini tena....!! ukiwa prof wa kitanzania ndio umekuwa chizi
 
wanajamvi habari za asubui.In short nimechaguliwa chuo cha Ualimu Korogwe.Hivyo kieipori na kujionea madudu yanayofanyika ni Mengi mno Mpaka kero nasijajua kwanini serikali inalifumbia macho swala hili.Changamoto zenyewe ni hizi hapa .
1.Kukosekana kwa viti vya mwaka kwanza na hivyo kusababisha wanafunzi kusimama wakati wakusoma.

2.Kukosekana na kwa viti kwenye bwalo la kulia chakula hivyo kusababisha wanachuo kula chakula.Ikizingatiwa sasa hv mvua zinanyesha jiandaeni kwa magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu nazani haviepukiki.Msubilie kipindu pindu kitokeee mje mtoe matamko.

4.kutozwa pesa ya chai kila mwanafunzi kiasi cha sh 40000 kwa ajili ya waalim na staf kwa ujumla halafu nilazima kulipa usipolipa unarudishwa nyumbani .fedha hiyo imepewa jina maarufu kama posho ya vibarua
5.Halafu wanachuo leo tumeambiwa kulima mazao ( Mahindi) na mkufunzi wa miradi.

5.Kuna jamaaa mmoja anajiita mwadili yeye ndio amekuwa source ya matatizo hataki wanachuo waulize maswali amekuwa anatoa vitisho vya kufa mtu.

6.Tunaomba tuletewe mkuu wa chuo kwani aliopo inawezekana hakawa haendani n kasi ya mhe: Rais ya hapa kazi tuuu. yeye amekaa kiupigaji tuu.naikumbukwe aliopo ni makamu baada ya mkuu wa chuo kufariki mwaka jana.

7.Mkuu wa chuo akishirikiana na viongozi wa chuo ambao sio waaminifu ameanzisha mradi wa kwake binafsi kwenye maeneo ya chuo .Mradi huo ni DSTV Ambayo inatozwa na sh 300 kwa kila mechi kwa mwanafunzi na ikumbukwe pia kila mwanafunzi analipa sh 10000 kwa michezo lakin bado akifika atatakiwa kulipa sh 300 kuona hotuba za rais.
8.Chuo hakina hospitali lakini kuna hela kwa ajili ya huduma ya kwanza yaaani sh 10000. ila kuna kajumba kadogo ukienda unaumwa kazi ya nurse ni kukubashiria unaumwa nini na kisha kukupa dawa za ubashiri wake.
9Pia kuna bima ya afya ambayo kila mwanafunzi amelipia sh 10000.Kwa uzoefu wangu hizi bima huwa zinajumisha watu wa5 kwa sh 10000. kwa tafsiri ya kwamba kila mwanafunzi atachajiwa sh 2000. Lakini huyu makamu yeye ameamua kutoza 10000.kwa heshima na taaadhima tunaomba serikali iingilie kati kukomesha wizi huu.
10.Ifahamike kwamba hakuna mwanafunzi ambae ataishi hapa chuo milele lakini usalama maradhi chakula ni vitu vya muhimi kuvizungumzia.Ugali unaopikwa ni uji hauendani na hadhi ya chuo. huwezi kula kwa mkono lazima ulie kijiko sasa sijajua tatizo nini?Mkufunzi wa chakula hataki kuulizwa na amekuwa akishirikiana na makamu mkuu kuiba na kutaifisha vitu vya chuo.

Bima ya afya ya jamii (CHF) iliyoboreshwa ni Sh.30,000 kwa kaya ya watu sita; sawa na wanafunzi sita. Hii yako ya Sh.10,000 ni ya zamani.

Hii habari imekaa kiuchochezi. Soma kijana acha siasa.
 
Usidhani uongozi ni rahisi kama unavyofikria. Huna lolote la maana Bali ujuaji wa kudhani uliowakuta ni wajinga.

Kama una hoja za msingi kaonane na uongozi wa chuo ili unapokuja Mara nyingine uonyeshe na jitihada zilizochukuliwa otherwise tulia usomeshwe ualimu ulioufuata.
 
1. Nafikiri ungefanya utafiti mdogo tu kujua OC ya chuo kwa mwezi ni shs ngapi na inatumikaje.
2. Kuna changamoto kubwa kuendesha taasisi kama vyuo na shule za sekondari kwa sababu wizara haitoi fungu la kutosha na wakati mwingine fedha zinakuja zikiwa zimechelewa.
3. Wakuu wa shule na vyuo inabidi kuwa wabunifu kidogo na wakati mwingine kutoza vi mchango kutoka kwa wanafunzi ili angalau waweze kutoa elimu.
4. Naona kama hakuna shutuma za msingi hapa. Bali haujui exactly ugumu uliopo katika uendeshaji wa shule
 
Kuwa wabunifu kwa kuwaibia wanafunzi?Mbona sekondari wenyewe hiyo michango hamna? kwahiyo ubunifu kwanini uwe kwa wanachuo kwanini wasijitoze wenyewe staff members.?
 
Usidhani uongozi ni rahisi kama unavyofikria. Huna lolote la maana Bali ujuaji wa kudhani uliowakuta ni wajinga.

Kama una hoja za msingi kaonane na uongozi wa chuo ili unapokuja Mara nyingine uonyeshe na jitihada zilizochukuliwa otherwise tulia usomeshwe ualimu ulioufuata.
Usinichukulie poa wewe mkata nyasi muulize jamaaa mmoja anaitwa Nkenwa aliekuepo madaba, Ananipata uzuri sana wakubwa wakiongea point wewe kanye.
 
sio haki kwa mwanafunzi wa chuo kutumikishwa... huo mpango wa kulipia chai ni batili.... inatakiwa kila mwanafunzi awe huru kununua chakula popote..
 
Back
Top Bottom